Hahahah anafanya mno ila tushazoea tunaona kawaidaHahahaaa!! Hebu niletee video moja nione Mtani.
Au ndio anayafanya nyuma ya Kamera. [emoji41]
Sawa Mtani basi na sisi tukizowea tutaona kawaida. Teh
Ushawahi kuona Messi na ronaldo wanafanya huo upuuzi anaoufanya huyo kibaka [emoji23][emoji23][emoji23]Sawa Mtani basi na sisi tukizowea tutaona kawaida. Teh
πππ umehama tena Mtani.Ushawahi kuona Messi na ronaldo wanafanya huo upuuzi anaoufanya huyo kibaka [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mnajaribu kutupanikisha mtani!??[emoji3][emoji3][emoji3] umehama tena Mtani.
Hivyo huyo Chama unayesema anafanya sana hadi mumezowea nao ni upuuzi. [emoji848][emoji848][emoji848]
Hata Messi hawezi kufanya utoto kama huuMtani nakusalimia kwa Hisani ya Morison. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama ilivyo ada mtaelewa tu somo mwaka huu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Eti wanajiita wazee wa Come back. LOL.
Somo gani Mtani kwa mbeleko ndani ya mechi tatu mfululizo.
Mpaka wazime taa za uwanja na vimbendera wao uchwaraπππ Eti wanajiita wazee wa Come back. LOL.
Kwa Wanalunyasi, Wekundu wa Msimbazi, Sports Club Simba, mechi haiishi mpaka iisheππππππ Eti wanajiita wazee wa Come back. LOL.
Swali zuri sana hili[emoji23][emoji23][emoji23] mnajaribu kutupanikisha mtani!??
Chama sisi tunataka atoe pasi na kutengeneza nafasi za kufunga hayo masuala ya mbwembwe hatuyafuatilii ndio maana hata hatuyaongelei kabisa..
Hvi kutembea juu ya mpira Kunakuja sambamba na point[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe eee? Hongereni.Kwa Wanalunyasi, Wekundu wa Msimbazi, Sports Club Simba, mechi haiishi mpaka iisheπππ
Asanteeeee Shadeeya, karibu tenaKumbe eee? Hongereni.
Hiyo Mbeleko mnaijua nyie mtani sisi tunachojua tumefikisha point 50 mzunguko wa kwanzaSomo gani Mtani kwa mbeleko ndani ya mechi tatu mfululizo.
#Wawapagetuhilokombe.
Ehh ushindi muhimu tukishindwa kupulizia DE LA BOSS Perfume basi tunatumia VAR this is the next lever tunacheza kibingwa kunkunkun ahh kama Bruce Lee vile kum kum kum tupo lever moja na TP Mazembe na Al Ahly ahhh zhishii shimbwa bwanaHiyo Mbeleko mnaijua nyie mtani sisi tunachojua tumefikisha point 50 mzunguko wa kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app