Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
[emoji3][emoji3][emoji3] umehama tena Mtani.

Hivyo huyo Chama unayesema anafanya sana hadi mumezowea nao ni upuuzi. [emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23] mnajaribu kutupanikisha mtani!??

Chama sisi tunataka atoe pasi na kutengeneza nafasi za kufunga hayo masuala ya mbwembwe hatuyafuatilii ndio maana hata hatuyaongelei kabisa..

Hvi kutembea juu ya mpira Kunakuja sambamba na point[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali zuri sana hili
 
Hiyo Mbeleko mnaijua nyie mtani sisi tunachojua tumefikisha point 50 mzunguko wa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ehh ushindi muhimu tukishindwa kupulizia DE LA BOSS Perfume basi tunatumia VAR this is the next lever tunacheza kibingwa kunkunkun ahh kama Bruce Lee vile kum kum kum tupo lever moja na TP Mazembe na Al Ahly ahhh zhishii shimbwa bwana
 
Back
Top Bottom