Simba akili nyingi weweee. Wenyewe wanasajiri marefa na vibenderA kila mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutakuwa tunasajiri refa na vibendera kila mechi,kwa hiyo ondoa wasiwasi kabisa kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga mechi ya jkt ruvu mlipigwa cha pili refa akagoma kwa kudai ilikuwa offside wakati haikuwa hivyo...vp na nyinyi mlikuwa mmemsajiri nn???
Zis iz simbwa bwana. Chezea kitu ingine,sio simbwa. Safari hii hatuangalii mechi kubwa au ndogo. Tutawasajiria wachezaji wakubwa tu,refa na renzimen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FT:

Simba SC 0 - JKT Tanzania 1.

Tulishawaambia timu lenu bovu ila mnabebwa, leo haki imetendeka mmepigwa! Safi sana waamuzi kataeni Rushwa shikilieni hapo hapo
 
Yule kocha ninawasiwasi hajui mpira bali alikuwa kocha wa masumbwi
 
Huu ndio ukwel, team ipo mitandaoni kuliko field

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somo gani Mtani kwa mbeleko ndani ya mechi tatu mfululizo.

#Wawapagetuhilokombe.
Mbona unawapunguzia idadi ya hzo game? Hawa watu karibia mechi zote wamebebwa. Baada ya mianya kuzibwa sasa tumeanza kuiona ile hali halisi yao
 
Hiki kitimu chenu ni kibovu na vichezaji vyenu vya magazetini vimelegeaaa!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Walikuwa wanajiita wazee wa Kam bak. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jana Kam Bak imekataaa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…