Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Simba akili nyingi weweee. Wenyewe wanasajiri marefa na vibenderA kila mechiTangu msimu uliopita sehemu zinazohitaji marekebisho zilikuwa zinaonekana wazi..ma straika walikuwa watatu so ilitakiwa tuongeze mmoja wawe wanne na okwi wangembakisha...kama angelazimisha kuondoka ilitakiwa tuongeze mastraika wawili wazuri wa kimataifa tuwe na mastraika wanne jumla...kiungo pale kotei angebaki na beki huku nyuma tungeongeza beki mbili or tatu...moja ya kati..moja ya pembeni kumsaidia kapombe na moja kule kwa tshabalala...chakushangaza viongozi wakatuletea wale wauza matikiti wa brazil
Sent using Jamii Forums mobile app