Mwezi unaisha hatujapewa tathmini ya mauzo ya tiketi simba champions week. Shida ni nini?
 
Vipi nasikia terminator kaamua kuanza kuwalamba makofi baada ya kuona dharau zimezidi benchi la ufundi limegoma kumuamkia. Na bado vikina Ndemla na vyenyewe vikileta jeuri Mzee onyango atavilapua mabanzi!! Hii ndio shida ya kusajili wachezaji wakubwa kumzidi mwalimu!
 

Vipi ratiba yenu ya CAF CL ipoje?
 
Vipi ratiba yenu ya CAF CL ipoje?
Sisi hatuchezi huko tunajipanga ili tuipate hiyo nafasi msimu unaokuja. Na hilo liko very clear hata hatuwazi tena kuhusu CAF CL mana tushashindwa kufuzu na ndio mana tumesajili wachezaji wazuri na vijana kwa sababu ya hilo! Vipi hivyo vibao havikumjeruhi kuku kishingo lakini!?
 
"Siwezi kutumia nguvu kwenye mambo yasiyo ya maana ambayo sijui yanatoka wapi. Mimi sina tatizo, Medie hana tatizo hilo ndilo ninaweza kusema."- Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck. #NguvuMoja https://t.co/m7Vo7VJKfy
 
Nasikia Mzee Onyango na Mzee Kagere wanataka kila siku asubuhi shikamoo ziwe zinatolewa kwa wakati tena na watu wote hadi kina kishingo na Matola. Baada ya kishingo kuchelewa kutoa shikamoo ndipo akakutana na mkono Wa sheria Wa Terminator!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…