Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Bocco OFF
Kagere ON
Kagere ON
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kuna mchwa wewe unatehemea nini!? Unacheza na kina magori,hanspope na kina Manara weweMwezi unaisha hatujapewa tathmini ya mauzo ya tiketi simba champions week. Shida ni nini?
LILE FUNIKO LA JANA SIJUI LITAFUNULIWA LINI!!
Mwezi unaisha hatujapewa tathmini ya mauzo ya tiketi simba champions week. Shida ni nini?
#FriendlyMatch 85'
Arusha FC 0-5 Simba SC
⚽5' Kagere
⚽24' Bwalya
⚽34' Kagere
⚽64' Miquissone
⚽76' Miquissone
⚽89' Miquissone
#Sportstz https://t.co/hldz8ePKUu
Vipi nasikia terminator kaamua kuanza kuwalamba makofi baada ya kuona dharau zimezidi benchi la ufundi limegoma kumuamkia. Na bado vikina Ndemla na vyenyewe vikileta jeuri Mzee onyango atavilapua mabanzi!! Hii ndio shida ya kusajili wachezaji wakubwa kumzidi mwalimu!
Sisi hatuchezi huko tunajipanga ili tuipate hiyo nafasi msimu unaokuja. Na hilo liko very clear hata hatuwazi tena kuhusu CAF CL mana tushashindwa kufuzu na ndio mana tumesajili wachezaji wazuri na vijana kwa sababu ya hilo! Vipi hivyo vibao havikumjeruhi kuku kishingo lakini!?Vipi ratiba yenu ya CAF CL ipoje?
Anaongea kiutu uzima!"Siwezi kutumia nguvu kwenye mambo yasiyo ya maana ambayo sijui yanatoka wapi. Mimi sina tatizo, Medie hana tatizo hilo ndilo ninaweza kusema."- Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck. #NguvuMoja https://t.co/m7Vo7VJKfy