OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Dr.kigwa anakuja na hoja za msingi ila kanjibai anachomekea Mambo ya mikopo,hapa anajihidhirisha kua how weaker he is.Hahahaaaa
Watu wanachoshindwa kuelewa ni kwamba, Kingwa ametumwa na anawakilishwa baadhi wanachama na members wa bodi ambao hawakubalian na mwenendo wa uwekezaji, kutokana na power ya Mo wanaogopa kumkosoa, na Kingwa kashathibitisha hilo kwenye tweet yake ya mwisho.Dr.kigwa anakuja na hoja za msingi ila kanjibai anachomekea Mambo ya mikopo,hapa anajihidhirisha kua how weaker he is.
Goli la kagere pia lilikuwa la wazi kabisa kwa kusema offside unasemaje kwa hili.Marefa wa Tanzania kiwango chao kipo chini sana bado. Uwezo mdogo sana. Kwa mfano jana Ihefu imenyimwa goli la wazi kabisa kwa kusema ni offside
Sikuliona hilo, ngoja niangalie upyaGoli la kagere pia lilikuwa la wazi kabisa kwa kusema offside unasemaje kwa hili.
Sikuliona hilo, ngoja niangalie upya
Kukopa ni Najsi... au tusi?Mo ni mjinga, Yaani Tajiri unamsema mwenzako kwamba amekopa
Nenda ukaone ndio urudi hapa, hatutaki unafikiSikuliona hilo, ngoja niangalie upya
Hawa marefa upuuzi tupu..Marefa wa Tanzania kiwango chao kipo chini sana bado. Uwezo mdogo sana. Kwa mfano jana Ihefu imenyimwa goli la wazi kabisa kwa kusema ni offside
Mkuu UTOPOLO huyo achana naeGoli la kagere pia lilikuwa la wazi kabisa kwa kusema offside unasemaje kwa hili.
Refa alishaharibu kwa watoto kile kitu kilikuwa kinamuumiza nafsi ikabidi ajifanye kusawazisha kitu ambacho kwenye mpira kule si kusawazisha kwa sababu laiti goli la yule mtoto lingekubaliwa huenda hata huyo meddie asingeingia, mana huenda atmosphere isingekuwa ile tena ilompa nafasi Mzee Kagere kuingia. Na wewe nijibu kisoka sasaGoli la kagere pia lilikuwa la wazi kabisa kwa kusema offside unasemaje kwa hili.
Mwisho wa msimu Simba bingwa, nyie endeleeni kulia tuRefa alishaharibu kwa watoto kile kitu kilikuwa kinamuumiza nafsi ikabidi ajifanye kusawazisha kitu ambacho kwenye mpira kule si kusawazisha kwa sababu laiti goli la yule mtoto lingekubaliwa huenda hata huyo meddie asingeingia, mana huenda atmosphere isingekuwa ile tena ilompa nafasi Mzee Kagere kuingia. Na wewe nijibu kisoka sasa
Kwa staili hii sikupingi naona unaweza ukachukua tena ubingwa kwa staili ile ileMwisho wa msimu Simba bingwa, nyie endeleeni kulia tu
Km members wa BODI alafu unaenda kumwambia mtu wa kawaida akusaidie UNA AKILI KWELI?nafas na sehemu nzur ya kusemea hili ni wap?Watu wanachoshindwa kuelewa ni kwamba, Kingwa ametumwa na anawakilishwa baadhi wanachama na members wa bodi ambao hawakubalian na mwenendo wa uwekezaji, kutokana na power ya Mo wanaogopa kumkosoa, na Kingwa kashathibitisha hilo kwenye tweet yake ya mwisho.