Yes kabisa mkuu morali iko chini sana ndo maana ukimuangalia mtu kama wawa uchezaji wake wa jana kidogo apate red card make anaipambania timu mpaka inamcost
 
Yes kabisa mkuu morali iko chini sana ndo maana ukimuangalia mtu kama wawa uchezaji wake wa jana kidogo apate red card make anaipambania timu mpaka inamcost
Lakini game plan ya jana ya Mwalimu ilifanikiwa kwa kiwango kikubwa.

First half probably tuliwaheshimu Platinumz kupita kiasi but we managed to tame them.

Second half tulicheza vizuri pia tatizo hatukuweza kuzitumia nafasi nyingi tulizozipata.

An away goal could give us a boost hasa ukizingatia hata Dar es Salaam hatupati matokeo ya magoli mengi.

Second leg tunapaswa kutulia na kutafuta ushindi mkubwa tutumie nafasi tutakazozipata hata kama zitakuwa mbili we have to be clinical on our final third.

Mwalimu angeopt kwenda na Ajib upande wa kushoto au Morrisson tuongeze kasi pande zote mbili za uwanja.

With Ajib tutakuwa na deadball specialists uwanjani lakini pia Ajib or Kahata wanaweza kucheza kwenye spaces ndogo kama ilivyokuwa jana walibana Space kwa Luis na Chama.

Hopefully Ajib or Kahata would have done better than Louis upande wa kushoto.
 
You deepened me on my club
 
Simba kama Simba ni indomitable lions of Tanzania. Hakuna kama Simba Wa Africa soon tunakwenda kuweka record kubeba taji LA Africa 2021 , first of all tunamtoa hiyo mzimbabwe ili kuingia group stage, tutashinda 3-0 Mkapa stadium.
 
Perfect Chikwende anawatakia mchana mwema Mwamedi Fc Mikia SC Mbumbumbu United.
 
kocha hovyo kabisa, mi sioni kwanini aliwatoa dilunga na kagere. kagere hakupata clear chance kusema ameshindwa kufunga. miquison ndio mchezaji pekee aliatakiwa kutoka na angeingia ajibu
 
Simba kama Simba ni indomitable lions of Tanzania. Hakuna kama Simba Wa Africa soon tunakwenda kuweka record kubeba taji LA Africa 2021 , first of all tunamtoa hiyo mzimbabwe ili kuingia group stage, tutashinda 3-0 Mkapa stadium.
Una mechi tatu za kimataifa hujashinda taifa

1. Tp mazembe
2. Ud songo
3. Plateu United

Sasa jipe matumaini hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…