Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Kuna kujituma na kukosa morali mimi nahisi la pili ndiyo linaloisumbua Klabu kwa sasa.
Wachezaji wanaocheza wametumika for 3 consecutive seasons wakati usajili mpya hauongezi chochote kwenye timu.
Msimu uliopita usajili chanya ni wa Luis Miqussone tu wengine wote wanasugua benchi usajili wa msimu huu the same.
Wachezaji wakitumika muda mrefu tempo ya timu na hamasa ya kupata ushindi huwa inapungua tunahitaji kufanya usajili utakaoleta new motivation kwenye timu.
Yes kabisa mkuu morali iko chini sana ndo maana ukimuangalia mtu kama wawa uchezaji wake wa jana kidogo apate red card make anaipambania timu mpaka inamcost