OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hizi zitakuwa ni data za kupikwa.Umenena vyema kusema 'wewe unaamini', na bahati mbaya mambo ambayo yanaamua ubora wa timu sio ya kiimani kiasi cha kukufanya 'uamini', badala yake ni mchakato wa kisayansi ndio utakaoamua timu ipi ni bora barani Afrika na ipi si bora. Kwa taarifa tu, kwa list iliyotoka mara ya mwisho na vyombo rasmi, Namungo ni bora kuliko Yanga barani Afrika
Source: Wikipedia
Inatembelea nyota ya wachezaji wa Mtibwa au Ndanda..?Hii timu inatembelea nyota za baadhi ya wachezaji, siku wakiondoka basi timu itajifia tu.
#YangakamaYanga.
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Al Ahly= tumegawana nao point 3>3Mechi sita za mzunguka Simba imepoteza mechi moja.
Mechi sita za mzunguko Simba imetikiswa nyavu zake goli mbili tu.
Huu ni ushindi pia kwa Simba ukiachana na kufuzu kuingia robo fainali.
Habari ya mjini kwasasa ni mama kasema.
Ukinizingua ntakuzingua"
Upo wapi sasa hivi na mateso yako.Kwenye game zenu za Championship zilizobaki mnapigwa zote.
Al Ahaly atawabamiza bao tano.
As Vita game za ugenini hajapoteza hata moja, hivyo pale taifa moto utawaka ..mtabamizwa kama siyo tano basi ni tatu..
Kwa wastani hapo mutakuwa mumepigwa siyo chini ya bao nane hivi, kwenye kufuzu mtashaaa maana mtaishia nafasi ya tatu..
#MkiaNguvuMoja .
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ulisema goli ngapi vile?
match ijayo tunarudi kuongoza ligi huku tukiendelea kujilia vipolo.Tunamlamba mtibwa sugar muda sio mrefu
Huyu Mmasai wa wapiKwenye game zenu za Championship zilizobaki mnapigwa zote.
Al Ahaly atawabamiza bao tano.
As Vita game za ugenini hajapoteza hata moja, hivyo pale taifa moto utawaka ..mtabamizwa kama siyo tano basi ni tatu..
Kwa wastani hapo mutakuwa mumepigwa siyo chini ya bao nane hivi, kwenye kufuzu mtashaaa maana mtaishia nafasi ya tatu..
#MkiaNguvuMoja .
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Utopolo banaLeo niota ndoto mbaya Sana chama la wanasimbazi limefungwa bao 1-2 ilininyima usingizi wangu kbs hadi asbh na kuomba iishie kuwa ndoto.
Nilijifariji pale nilipokumbuka kuwa si mara zote au nyingi ndoto zinakuwa si kweli mfano nimeota mara nyingi unaokota hela au unafukuzwa na mnyama mkali.
Naomba pia ndoto hii iishie kama ndoto hizo zingine.
Ningeomba wenye wataalamu wazidishe dua kwani pia kuna ndoto mbaya ukiota unatumia maliwato haikuachi salama kabisa so ndugu zangu sala zetu tunazozijua muhimu sana.
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Takataka ni ajira na nifursa nzuri sana. Ndio maana Magari yataka yanapita mtaani kwenu kila wiki kukusanya Takataka.Simba ni takataka