OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Hizi zitakuwa ni data za kupikwa.Umenena vyema kusema 'wewe unaamini', na bahati mbaya mambo ambayo yanaamua ubora wa timu sio ya kiimani kiasi cha kukufanya 'uamini', badala yake ni mchakato wa kisayansi ndio utakaoamua timu ipi ni bora barani Afrika na ipi si bora. Kwa taarifa tu, kwa list iliyotoka mara ya mwisho na vyombo rasmi, Namungo ni bora kuliko Yanga barani Afrika
Source: Wikipedia
CAF 5-year ranking - Wikipedia
en.wikipedia.org
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app