Yes, Dogo yupo vizuri.
Japo anaonekana ni lazy kwenye kukaba.
Kanoute amenikosha kama ataendelea hivi, basi tumepata mtu.
 
Nina hofu kwa kweli. pengo la Chama & Mikisone litatutesa sana!
 
Yes, Dogo yupo vizuri.
Japo anaonekana ni lazy kwenye kukaba.
Kanoute amenikosha kama ataendelea hivi, basi tumepata mtu.
Ila sina uhakika na Kanoute. Kweli atatufaa yule maana anafanana kiuchezaji na Baraka Majogoro.
 
Mkuu mechi ya jana tumecheza vizuri ila tumecheza na timu ambayo msimu huu iko bora sana.
Mimi nadhani TP Mazembe haikuwa bora ila Sisi ndio tumekuwa dhaifu kidogo. Maana ukiangalia unaona kuwa ubora wetu umepungua kidogo.
 
Mkuu PTER unaizungumziaje game ya jana?
Usajili umeuonaje, vipi tuna nafasi?
Mimi naona msimu huu tutapata shida kidogo kimataifa maana tumesajili wachezaji wa kawaida sana. Na kwenye ligi tutaendelea kuonewa sana na Yanga, hebu firia Yanga ya akina Sarpong & fiston waituyumbisha tena tukiwa na wakina Chama & Mikisoni.

Nina wasiwasi na msimu huu kwa kweli maana viongozi wamevuruga vuruga kwenye usajili.
 
Ni kweli

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…