Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Yes, Dogo yupo vizuri.Mkuu mechi ya jana tumecheza vizuri ila tumecheza na timu ambayo msimu huu iko bora sana.
Usajili wetu uko vizuri japokuwa attacking midfield yetu ina shimo.
Nilikwambia Bwalya hawezi kuvaa vizuri nafasi ya Chama pale juu labda Sakho anaonyesha uhai kidogo ila kimo chake kinanipa mashaka sana
Japo anaonekana ni lazy kwenye kukaba.
Kanoute amenikosha kama ataendelea hivi, basi tumepata mtu.