Kocha wa timu za Coastal Union SC na Simba SC ameondoka leo nchini na Klabu ya Simba kuelekea Malawi kwenye kushiriki mashindano ya CAF!

Atakaporudi ataendelea kuzifundisha timu zake za Coastal Union na Simba kwenye mashindano la ligi ya NBC na Mashindano ya CAF!
 
Kama nilivyowajuza kwamba tumewekeza kwenye timu ya Wanawake, kwasasa kocha wetu wa timu ya Wanawake ndiye amepewa jukumu la kuifundisha timu ya wakubwa ya wanaume kwenye mashindano ya CAF.

Hii ni kutokana na mafanikio makubwa kwenye timu yetu ya soka ya Wanawake!

Ongera sana CEO wetu Barbara!



 
Mnadanganywa kirahisi sana arif
 
Hutuhubu kurudi hapa, fala
 
Wanasimba wenzangu kwanini hamji uwanjani?

Leo hata watazamaji elfu 15 hatukufika.
 
WANA SIMBA TUKAMPGIE KURA BOULAYE DIA KWA WINGI [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…