Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.Kwani wewe hautakufa??
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.Yanga on fireeee
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.Mambo ya kimichezo unaleta udini. Haya ni nani aliyekuambia kuwa ukifa utakuwa accountable na ulichofanya?
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Alijumuishwa kwenye kikosi au tunasubiri dirisha liwe wazi ajumuishwe!?Dilunga amerud
Nguvu moja [emoji91][emoji91][emoji91]
Sikuona umuhimu wa kumrudisha, si kila mchezaji akitoka arudi, ni wachache sana huwa wanakupa kile walichokua wanakupa kabla ya kuondoka,Dilunga amerud
Nguvu moja [emoji91][emoji91][emoji91]
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.Yanga on fire kufa kwanza wewe popo
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.Ushawahi kufa???
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.Kufa??
1963 kipindi boniface yupoMara ya mwisho kuona Yanga ikifungwa sijui lini yn nshasahau.
Kufungwa tena labda 2070.1963 kipindi boniface yupo
Meddie KagereHuyu Mayele huenda ndiyo mfungaji bora wa muda wote hapa Africa mashariki na kati, hapajawahi kutokea forward yenye njaa kama hii.
1. Junior AjayKwa hapa Africa kuna forward chache sana zinazofanana na Mayele kwa uwezo.
Hao wote uliowataja sio size ya Mayele, huyu sio level za NBC mzee sema basi tu.Meddie Kagere
Boniface Ambani
Ben Mwalala
Felix Sunzu
Amis Tambwe
John Baraza.
Emanuel Okwi
Kipre Tcheche
John Bocco
Abubakary Mkangwa
Mohamed Machuppa
Emmanuel Gabriel
Mussa Hassan Mgosi
Hao wote walichukua tuzo ya mfungaji bora wa ligi vipi haukuwaona ? Bila shaka ulikuwa bado unanyonya.