Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kwani wewe hautakufa??
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.
 
Yanga on fireeee

Mambo ya kimichezo unaleta udini. Haya ni nani aliyekuambia kuwa ukifa utakuwa accountable na ulichofanya?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.
 
Dilunga amerud
Nguvu moja [emoji91][emoji91][emoji91]
Sikuona umuhimu wa kumrudisha, si kila mchezaji akitoka arudi, ni wachache sana huwa wanakupa kile walichokua wanakupa kabla ya kuondoka,

Refer wale wa upande wa pili pale ( kinye fc ), Simba itoe hela isajili na si kuleta ujanjaujanja na uswahili na sisi Wapenzi na mashabiki tuangalie mambo kwa jicho la ziada,
Ni hayo tu kwa sasa.
 
Yanga on fire kufa kwanza wewe popo
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.
 
Wananchi oyee!
Simba ngapi huko jamani
Huku umeme hakuna ni simu tu
 
Ushawahi kufa???
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.
 
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.
 
Huyu Mayele huenda ndiyo mfungaji bora wa muda wote hapa Africa mashariki na kati, hapajawahi kutokea forward yenye njaa kama hii.
 
Meddie Kagere
Boniface Ambani
Ben Mwalala
Felix Sunzu
Amis Tambwe
John Baraza.
Emanuel Okwi
Kipre Tcheche
John Bocco
Abubakary Mkangwa
Mohamed Machuppa
Emmanuel Gabriel
Mussa Hassan Mgosi

Hao wote walichukua tuzo ya mfungaji bora wa ligi vipi haukuwaona ? Bila shaka ulikuwa bado unanyonya.
 
Kwa hapa Africa kuna forward chache sana zinazofanana na Mayele kwa uwezo.
1. Junior Ajay
2. Yaw Annor
3. Frank Mbella Etourga
4. John Bocco
5. Abubakary Nassir
6. Ricky Banda
Hao niliokutajia they are far better than Mayele.
 
Meddie Kagere
Boniface Ambani
Ben Mwalala
Felix Sunzu
Amis Tambwe
John Baraza.
Emanuel Okwi
Kipre Tcheche
John Bocco
Abubakary Mkangwa
Mohamed Machuppa
Emmanuel Gabriel
Mussa Hassan Mgosi

Hao wote walichukua tuzo ya mfungaji bora wa ligi vipi haukuwaona ? Bila shaka ulikuwa bado unanyonya.
Hao wote uliowataja sio size ya Mayele, huyu sio level za NBC mzee sema basi tu.
 
Back
Top Bottom