Rufaro
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 222
- 342
Nitakufa na nitakua accounttable kwa ambayo nimeyafanya duniani na kuongea, na kwako pia ila naona kama wewe unayoyasema hapa na kutukana ovyo na kukebehi watu unaona kama vile hautakufa au ukifa ndio basi, nikueleze utaenda kua accountable na unachofanya na kuongea huku duniani.Kwani wewe hautakufa??