Na hakuna beki kama Mwamnyeto tangu Yanga ianze! Ahahahahah!!!
 
CHINUA ACHEBE AMEANDIKA KATIKA RIWAYA YAKE YA "THINGS FALL APART" KWAMBA.
Mtu anayewaalika Jamaa zake kwenye sherehe hafanyi hivyo kwa ajili ya kuwaokoa kwa sababu ya njaa. Waalikwa wote wana vyakula majumbani kwao.
Tunapokusanyika usiku wa mbalamwezi katika ardhi ya kijiji chetu, siyo kwa sababu ya Mbalamwezi.
Kila mmoja angeweza kuiona mbalamwezi akiwa nyumbani kwake.
Tunakusanyika kwasababu ni jambo zuri kwa Jamaa kukusanyika pamoja.

Kwa hiyo tuendelee na umoja wetu ili tufurahie nguvu ya kuwa pamoja.
Tukitabasamu haimaanishi kwamba hatuna matatizo isipokuwa kwasababu tuna nguvu ya kuyashinda matatizo.

Peke yako unaweza kutabasamu lakini mkiwa pamoja mnaweza kucheka.
Ukiwa peke yako unaweza kufurahi lakini mkiwa wengi mnaweza kusherehekea.
Ukiwa peke yako unaweza kutamka lakini mkiwa pamoja mnaweza kuongea.

Tuendeleze mambo ambayo yanaweza kutuunganisha pamoja kuliko mambo ambayo yatasababishaj kutengana[emoji1431].

Nawatakia mema ya Christmas na mwaka mpya 2023. [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji1376][emoji1376][emoji1376]
 
Hizi timu za kariakoo hazijawahi kuwa ktk ubora zote kwa wakati mmoja.... Yanga ikiwa na hali nzuri, simba inakua ktk majanga...na vice versa is true... [emoji848]
Me mwenyewe huwa najiuliza kwnn?
 
Kama makolo mtatoboa kwenye hatua ya makundi na hilo group lenu la wahuni,natupia chooni kadi yangu ya uanachama wa Young african sc.
 
Utoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…