The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Timu bora Afrika mashariki na kati kwa ss.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hakuna beki kama Mwamnyeto tangu Yanga ianze! Ahahahahah!!!Hakuna kama Mayele tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Hakuna kama Diarra tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Hakuna kama Bangala tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Hakuna kama Fei tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Hakuna kama Aziz Ki tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Hakuna kama Nabi tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Na hakuna timu iliyowahi kuwa organized kama Yanga hii tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz, huu ni ukweli mchungu ambao kila mtu anaujua.
Hizi timu za kariakoo hazijawahi kuwa ktk ubora zote kwa wakati mmoja.... Yanga ikiwa na hali nzuri, simba inakua ktk majanga...na vice versa is true... [emoji848]Hawa wauza sembe wako hovyo sn.
Me mwenyewe huwa najiuliza kwnn?Hizi timu za kariakoo hazijawahi kuwa ktk ubora zote kwa wakati mmoja.... Yanga ikiwa na hali nzuri, simba inakua ktk majanga...na vice versa is true... [emoji848]
View attachment 2458774
View attachment 2458775
Kwanini hanakaa muda mfupi kwwnye timu anazosajiliwa?
Hawana pesa waleWadau nasikia Azam wanamfukuzia aish manula[emoji51]
UtotoHakuna kama Mayele tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Hakuna kama Diarra tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Hakuna kama Bangala tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Hakuna kama Fei tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Hakuna kama Aziz Ki tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Hakuna kama Nabi tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz.
Na hakuna timu iliyowahi kuwa organized kama Yanga hii tangu ligi ya mpira wa miguu ianze hapa Tz, huu ni ukweli mchungu ambao kila mtu anaujua.
Etieeeeee [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utoto