Wadau ni furaha ilioje leo tumemaliza ile ahadi ya kuifunga yanga aka wana-dengu! I wish Gang Chomba angepita tena huku na kutupa hongera zetu... tumetoa top scorer, tumepiga watani wetu na tmebeba kombe mbele ya yanga
utamu zaidi ni kwamba mechi ilikua like start TV kwahiyo nchi nzima wameiona na kuona ndugu zetu wasivyoweza kucheza mpira hadi wanunue gemu!!!
FACTS ZA LEO:
Refa aliahidiwa zawadi kubwa kuliko zote, inasemekana angepata ****** kama angewapa yanga ushindi, nampongeza kwa kuchezesha gemu vizuri na heshima yake imebaki murua