Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
well deserved victory and sweet championship now that we have swallowed kandambilizHongereni bwana ...
Jamaa walijua mpira unaisha 3 - 3 baada ya kusawazisha, lakini wapi bana, vijana wakawashika pabaya.Mi nilienda kunywa kwa furaha baada ya goli la nne.
Hivi tuliongeza mengine?
Yanga midabwada kwelikweli. Unatakiwa uwe na ubongo wa kichina ili kuishabikia hii timu Yanga.
Pipipipipipipii Eeeeeeeeeh Kidedeaaaaaaa!!!!
Manji mi namwita SCALAR (kama umepita karibu kidogo na Physics) ....he got magnitude but directionless!Nadhani Manji sasa atajiuliza mara mbili mbili kuhusu ufadhili wake, maana kunguru hafugiki! kwi kwi kwi