Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
dakika ni ya 99 sasa mpira umekwisha weweeeeeeee


kidedeaaaaaaaaaaaa
 
Tujupongeze Wana Simba tunakabidhiwa Kombe na Furaha ya Ziada
 
hongera wana simba wote,kwani mwaka huu tunaweka historia ambayo nadhani haitavunjwa kwa karne.
 
Kandandambili ni kandambili tu haiwezi kuzuia jino la simba kupenya. mnatumia nguvu nyingi kujiandaa na mpambano na simba badala ya ile timu ileeeeeee ngoja nisikumbushe na mkateka vyombo vya habari yanga yanga sasa wapi nauliza wapiii. simba wameona mambo iko huko yanga wakawawowa kwa kumipumulia bao nne kudadeki na mimba mmesha beba upumzike tunasubiri watoto mapacha. wakati tunaelekea kwenye kazi CAF.kambi ya zenji ni kujiandaa na misri sio nyie mdebwedo
 
Kweli Tumeweka Historia ya kipekee TZ.Poleni sana watani zetu...sie Twajinafasi tu kwa Raha zet Yakhe.
 
hongereni sana mtani. nimewakubali mko juu hata kimataifa mmerarua mtu kwao na sasa mumtamfune maarab bila huruma. sisi ngoja tuchapane bakora mpaka kielewe, mwakani tutakuja tumejipanga upyaaa
 
Wadau ni furaha ilioje leo tumemaliza ile ahadi ya kuifunga yanga aka wana-dengu! I wish Gang Chomba angepita tena huku na kutupa hongera zetu... tumetoa top scorer, tumepiga watani wetu na tmebeba kombe mbele ya yanga

utamu zaidi ni kwamba mechi ilikua like start TV kwahiyo nchi nzima wameiona na kuona ndugu zetu wasivyoweza kucheza mpira hadi wanunue gemu!!!

FACTS ZA LEO:
Refa aliahidiwa zawadi kubwa kuliko zote, inasemekana angepata ****** kama angewapa yanga ushindi, nampongeza kwa kuchezesha gemu vizuri na heshima yake imebaki murua
 
Mi nilienda kunywa kwa furaha baada ya goli la nne.

Hivi tuliongeza mengine?

Yanga midabwada kwelikweli. Unatakiwa uwe na ubongo wa kichina ili kuishabikia hii timu Yanga.

Pipipipipipipii Eeeeeeeeeh Kidedeaaaaaaa!!!!
 
Nadhani Manji sasa atajiuliza mara mbili mbili kuhusu ufadhili wake, maana kunguru hafugiki! kwi kwi kwi
 
Jana mvua kubwa na yenye matone manene ilinyesha kwa muda mfupi tu, so mimi kama mwana YANGA nilishahisi kinachoendelea. WACHAWI WATUPU!
 
Nawapongeza wanamsimbazi,sisi tupo tunanyanyua vitu vizito jangwani.Hongereni na kazeti buti kuwavaa waarabu.
 
Yanga bwana gunia la misumari halibebeki!!! pamoja na feza za mifisadi na kulala holiday inn hamna kitu, hela za manji za kifisadi lakini hamna kituuuuuu!!!!!! basi na sisi tupeni Rostam tujue moja!!! Simba oyeeeeeeeeeeeeeeee!!!!! Yanga ni kama mtoto wa tajiri tuition nyingiiiiiiiiiii lakini anafeli hahahahahah Simba oyeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna mke wa mtu alinitambia kuwa simba hawafungi yanga. na akaniahidi kuwa Tukiwafunga yanga atanipa pande zake zote mbili nizifanyie ile kitu nataka kufanya....

Yanayoendelea siwaambii mmezidi umbeya
 
Mi nilienda kunywa kwa furaha baada ya goli la nne.

Hivi tuliongeza mengine?

Yanga midabwada kwelikweli. Unatakiwa uwe na ubongo wa kichina ili kuishabikia hii timu Yanga.

Pipipipipipipii Eeeeeeeeeh Kidedeaaaaaaa!!!!
Jamaa walijua mpira unaisha 3 - 3 baada ya kusawazisha, lakini wapi bana, vijana wakawashika pabaya.

Nadhani Manji sasa atajiuliza mara mbili mbili kuhusu ufadhili wake, maana kunguru hafugiki! kwi kwi kwi
Manji mi namwita SCALAR (kama umepita karibu kidogo na Physics) ....he got magnitude but directionless!
 
21.JPG
 
Back
Top Bottom