Tulia kama upo kitini, ule ni mpira sio misuli ya pawa mabula.

Akienda next stage mtaanza kuleta mapambio ya kubahatisha.
 
Wenye akili kama nyie huwa hamkosekani.
 
Uongozi wa Simba utafakari uwezo wa bench la ufundi chini ya Chief Coach Robertino, kama anaweza kutuvusha kwenye mashindano ya kimataifa na ndani.Timu haina muunganiko na wachezaji hawana utimamu. Coach aweke utaratibu wa kuwachezesha wachezaji wote kwenye mashindano mbalimbali ili kujenga kikosi kipana.Sijui kwa nini vijana kama akina Duchu,chilunda, Mohamed hawapangwi hata kwa dakika chache,ili kuwapa uzoefu na kujiamini,ili inapotokea mchezaji mzoefu anapopata majereha,asiache umbwe kubwa sana
 
Ikikupendeza mungu baba na leo utopolo wapate sare amen
 
Kuelekea uzinduzi wa AFL 2023 nimewaletea makala ya timu shiriki mpate kujua mafanikio yao katika mashindano ya AFRICA na DUNIA

Al-Ahly
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 11, ubingwa Caf Winners Cup mara 4, Caf confederation cup mara 1 mwaka 2014 CAF super Cup mara 8 afro Asian Cup mara 1, Arab club champions cup mara 1, Arab Super cup mara 2 Fifa Club World cup nafasi ya 3,

TP Mazembe
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 5, Winners Cup mara 1 mwaka 1980, Caf confederation cup mara 2 mwaka 2016 na 2017 CAF super Cup mara 3 Fifa Club World cup nafasi ya 2 mwaka 2010,

Wydad Athletic Club
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 3, Winners Cup mara 1, CAF super Cup mara 1

Esperance de Tunis
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 4, Winners Cup mara 1, Caf cup mara 1 mwaka 1997 CAF super Cup mara 1 mwaka 1995

Mamelody Sundowns
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 1 mwaka 2016 na mwaka 2001 waliingia fainali, CAF super Cup mara 1 mwaka 2017

Enyimba
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 2 mwaka 2003 na 2004, CAF super Cup mara 2

Simba Sports Club
NGUVU MOJA, UNYAMA MWINGI
Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 0,
Winners Cup mara 0,
Caf confederation cup mara 0
CAF super Cup mara 0
na Fifa Club World cup hawajawahi GUSA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…