tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Me nipo safari so sijaangalia ratiba,ila huwa ni 225 hebu chungulia hapo,au 224Naomba kujua kama game ya leo inarushwa DSTV na kama inarushwa naomba mnisaidie ni chanel namba ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nipo safari so sijaangalia ratiba,ila huwa ni 225 hebu chungulia hapo,au 224Naomba kujua kama game ya leo inarushwa DSTV na kama inarushwa naomba mnisaidie ni chanel namba ngapi
Ahsante mkuu lkn hawaoneshiMe nipo safari so sijaangalia ratiba,ila huwa ni 225 hebu chungulia hapo,au 224
Sio kwa mchezo huu usio na mipangoSimba anabeba kombe hili InshaAllah
yoyote mazuri kwanzia drooo na kuaemdeleaKwani Simba anahitaji matokeo ya aina gani ili afuzu hii hatua?
Sare/ suluhu au ushindiKwani Simba anahitaji matokeo ya aina gani ili afuzu hii hatua?
Au sioSio kwa mchezo huu usio na mipango
Wenye akili kama nyie huwa hamkosekani.Hapa naongea kama mtu wa 3 na sio katika upande wa washindani
I ve to be honest
Sioni mahala popote Simba Sc sio tu kumzidi Al Ahly Bali hata angle ambayo analingana na Ahly.
With due respect kwa wote na mchezo wa mpira wa miguu, kwangu the great achievement Simba Sc wanaweza kufanya katika Michuano hii ya African Super league ni kupata matokeo ya Ushindi katika Uwanja wa Mkapa ila sio kumuondoa Al Ahly katika mashindano haya.
Bado naona Simba Sc wana changamoto kiufundi hasa katika balance eneo la kiungo na kiulinzi changamoto ambazo given wanakuwa pressed, hustled and pushed with speed and quickness ni ngumu kuwa wastahmilivu dhidi ya timu Class ya Ahly.
Hivyo iwe iwavyo siwezi kwa mimi binafsi kutabiri Simba Sc anavuka mbele ya Al Ahly.
All in All Muende mkakipate kile mlicho kikimbilia
Ila hamna furaha.Makundi kama kawaida
potelea mbaliIla hamna furaha.