🀣🀣🀣

Goli lililotupa pointi 3 mechi ya 29 dhidi ya KMC kule Arusha!

Iwepo kwa kumbukumbu kwa ajili ya vizazi vijacho.

Alafu kipa na mchezaji mwenzake wanapongezana 🀣🀣🀣 baada ya kutuzawadia goli NGURUWE FC!

Your browser is not able to display this video.
 
Hivi kuna mipango yoyote inaendelea hadi sasa ili Simba SC πŸ‡΅πŸ‡± iweze kukwepa FEDERATIONS CUP msimu ujao? Au bado wanaendelea kusubiri KUDRA za mwenyezi ALLAH?! πŸ€”
 
Simba yangu dah
Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala

✍️ β€œKama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!”

β€œTulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account yetu ili tununue bonds, kumbe hakuweka! Kama angeweka tungenunua bonds za miaka 25, at a coupon rate of 15.95% tungepata faida ya bilioni 3.19 kila mwaka. Kwa miaka 7 aliyotuzubaisha bila mafanikio yoyote yale, tungevuna bilioni 22.33!

β€œDeni la pili: ni pesa alizotukosesha kutokana na ufadhili wa Azam - bilioni ngapi? Kwa mwaka ni bilioni 3. Kwa miaka 7 ni bilioni 21!

β€œNa yeye matangazo yake alikuwa analipia ufadhili kiasi gani?

β€œTayari kwa haya mawili tu, tunamdai mwekezaji Glezabhai zaidi ya bilioni 43.33! Taja na wewe madeni mengine tunayomdai Glezabhai ili twende sawa!

β€œHalafu, Wajumbe wa Bodi waliokurupuka leo kutoka usingizini tuna jambo nao: watuambie walimpa Glezabhai mamlaka ya kumiliki timu yetu kwa msingi upi? Maana hakufuata prospectus ya mchakato wa transformation wa kampuni inavyotaka.

β€œNimemuona Ndugu Issa akitumia Memorandum ya kampuni…how? Kama mchakato wa kulipia hisa haujakamilika hiyo document haina nguvu yoyote ile, ile bodi yao waliyokuwa wanakaa haina maana yoyote ile. Na wala Simba Sports Club haijauzwa na wala haidaiwi na mtu - kimsingi tumerudi GROUND ZERO!

β€œIle bodi ilikuwa genge la watu walioiteka tu timu yetu kinyemela. Kwa taarifa za Ndg. Issa, maana yake Glezabhai hana haki wala mamlaka yoyote yale kisheria kwenye Simba. Simba SC ni club ya wanachama kwa asilimia 100.

β€œWanachama tunamtaka Ndg. Mangungu aitishe mkutano mkuu haraka tuamue hatma ya club yetu. Kwenye mkutano huo aandae hesabu za mapato na matumizi ya Simba….kuanzia viingilio vya getini siku za mechi, mikataba ya mauzo ya bidhaa, mikataba ya mauzo ya haki za matangazo (ikiwemo ya bidhaa za Glezabhai, mbet nk), mapato ya CAF (robo fainali zote), n.k.

β€œNdg. Mangungu na Kamati Tendaji wakishindwa kufanya hivi, tutaingilia kati kwa kuunda β€˜kikosi kazi’ maalum (task force) cha kuiokoa club yetu.”
 
Duh, hatari sana, πŸ™‰
 
Kichwa kilichobakia Simba ni Mangungu tu!

Hii klabu inaendeshwa kiuni, yaani anajiteua na kujitangaza kama mwenyrkiti wa bodi akiwa CHUMBANI KWAKE!

Aibu sana hii kwa Simba.

Your browser is not able to display this video.


 
Historia ya simba mbona haija andikwa kwa ukubwa huo kma ilivyo kwa YANGA.
 
Naweza kusema kwa vipindi vya hivi karibuni ambapo Simba alichukua ubingwa wa Tanzania Bara walikuwa hawashindi kwa njia halali bali kwa rushwa kwa kuwaonga baafhi ya viongozi, wachezaji na makocha wa tmu pinzani na pia wasimamizi wa mechi.

Haiwezekani timu kama ni bora ikachukua ubingwa kwa njia halali alafu ikauza wachezaji wawili ambao ni Chama na Luis wakashindwa kufanya vizuri kwenye timu zikizowasajili hii moja kwa moja inaleta timu haikushinda kwa njia halali.

Nakumbuka wakati huo kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu Simba ila waandishi wetu wa habari walikuwa kimya kuongelea ili inawezakana labda kwa mapenzi yao na Simba ama walipewa kitu kidogo!

WENYE AKILI NDOGO WATAPINGA MAWAZO YANGU!
 
Tatizo la simab liko hapa, hawakufanya mabadiliko aftwr kukitumia kikosi hiko hiko after misimu minne mfululuzo, even mancity after misimu miwili wanabadili kikosi, simab iliishi kimazoea wakidhan team zingine hazito wakuta, na hii ndio first mistake
 
Tunashukuru mmenunua Sanda tayari,kazi yetu ni kuwachimbia kaburi na kuwazika
 
Hii ndio imewekwa kwenye jezi kama kumbukumbu...
 
Sina hakika kama kweli tiketi zimekwisha.
Timu yetu imejaa viongozi waongo waongo na hii ni propaganda tu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…