Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaandika Mhe. Hamisi KigwangwalaSimba yangu dah
Duh, hatari sana, 🙉Anaandika Mhe. Hamisi Kigwangwala
✍️ “Kama ni kudaiana tu, tena bila mikataba, basi na sisi wana @SimbaSCTanzania tunamdai mwekezaji pesa nyingi sana!”
“Tulimtaka aweke bilioni 20 kwenye account yetu ili tununue bonds, kumbe hakuweka! Kama angeweka tungenunua bonds za miaka 25, at a coupon rate of 15.95% tungepata faida ya bilioni 3.19 kila mwaka. Kwa miaka 7 aliyotuzubaisha bila mafanikio yoyote yale, tungevuna bilioni 22.33!
“Deni la pili: ni pesa alizotukosesha kutokana na ufadhili wa Azam - bilioni ngapi? Kwa mwaka ni bilioni 3. Kwa miaka 7 ni bilioni 21!
“Na yeye matangazo yake alikuwa analipia ufadhili kiasi gani?
“Tayari kwa haya mawili tu, tunamdai mwekezaji Glezabhai zaidi ya bilioni 43.33! Taja na wewe madeni mengine tunayomdai Glezabhai ili twende sawa!
“Halafu, Wajumbe wa Bodi waliokurupuka leo kutoka usingizini tuna jambo nao: watuambie walimpa Glezabhai mamlaka ya kumiliki timu yetu kwa msingi upi? Maana hakufuata prospectus ya mchakato wa transformation wa kampuni inavyotaka.
“Nimemuona Ndugu Issa akitumia Memorandum ya kampuni…how? Kama mchakato wa kulipia hisa haujakamilika hiyo document haina nguvu yoyote ile, ile bodi yao waliyokuwa wanakaa haina maana yoyote ile. Na wala Simba Sports Club haijauzwa na wala haidaiwi na mtu - kimsingi tumerudi GROUND ZERO!
“Ile bodi ilikuwa genge la watu walioiteka tu timu yetu kinyemela. Kwa taarifa za Ndg. Issa, maana yake Glezabhai hana haki wala mamlaka yoyote yale kisheria kwenye Simba. Simba SC ni club ya wanachama kwa asilimia 100.
“Wanachama tunamtaka Ndg. Mangungu aitishe mkutano mkuu haraka tuamue hatma ya club yetu. Kwenye mkutano huo aandae hesabu za mapato na matumizi ya Simba….kuanzia viingilio vya getini siku za mechi, mikataba ya mauzo ya bidhaa, mikataba ya mauzo ya haki za matangazo (ikiwemo ya bidhaa za Glezabhai, mbet nk), mapato ya CAF (robo fainali zote), n.k.
“Ndg. Mangungu na Kamati Tendaji wakishindwa kufanya hivi, tutaingilia kati kwa kuunda ‘kikosi kazi’ maalum (task force) cha kuiokoa club yetu.”
Historia ya simba mbona haija andikwa kwa ukubwa huo kma ilivyo kwa YANGA.Simba SC is a Tanzanian football club based in Dar es Salaam. Their home games are played at two stadiums Uhuru Stadium and National Stadium. Simba SC is one of two biggest football clubs in Tanzania, their archrivals being the Young Africans. The club had several names during its history, when it was founded in 1936 it was called Queens, then changed to Eagles, Dar Sunderland and later, in 1971 changed to its actual name, Simba (that means Lion in Swahili).
Simba is the biggest also the most titled club in Tanzania.
The highest level of success that Simba SC achieved was getting to the final of the CAF Cup in 1993 where they lost to Stella Abidjan of Ivory Coast. It was the highest achievement on continental competitions reached by any Tanzanian team. One of the most memorable years for the club was 2003 when it knocked off the then reigning champions Egyptian giants Zamalek on its way to qualify for the group stages of the CAF Champions League. In the first round of that year's competition, Simba SC eliminated Santos of South Africa.
Nicknames: Msimbazi street boys ( Wekundu wa Msimbazi)
Simba Sports Club Official Website: www.simba.co.tz
Simba Sports Club Trophies:
Tanzanian Premier League: 20
1965, 1966 (as Sunderland)
1972, 1973, 1976, 1977, 1978, 1979, 1980, 1993, 1994, 1995, 2001, 2002, 2004, 2007, 2009/2010, 2011/12, 2017/18, 2018/19
Tanzanian Cup: 3
1984, 1995, 2000
Tanzanian Tusker Cup: 5
2001, 2002, 2003, 2005
2005 in Kenya
CAF Cup:
Finalist : 1993
CECAFA Clubs Cup: 6
1974, 1991, 1992, 1995, 1996, 2002
Performance in CAF competitions:
2002 - First Round
2003 - Group Stage
2004 - First Round
2005 - First Round
2008 - First Round
African Cup of Champions Clubs: 8 appearances
1974: Semi-Final
1976: Second Round
1977: Second Round
1978: Second Round
1979: Second Round
1980: Second Round
1981: First Round
1995: Second Round
CAF Confederation Cup: 4 appearances
2007 - Preliminary Round
2010 - First round 16
2011 - second round 16
2012 - Second round 16
CAF Cup: 2 appearances
1993 - Finalist
1997 - First Round
CAF Cup Winners' Cup: 3 appearances
1985 - Second Round
1996 - Second Round
2001 - Second Round
Tatizo la simab liko hapa, hawakufanya mabadiliko aftwr kukitumia kikosi hiko hiko after misimu minne mfululuzo, even mancity after misimu miwili wanabadili kikosi, simab iliishi kimazoea wakidhan team zingine hazito wakuta, na hii ndio first mistakeNaweza kusema kwa vipindi vya hivi karibuni ambapo Simba alichukua ubingwa wa Tanzania Bara walikuwa hawashindi kwa njia halali bali kwa rushwa kwa kuwaonga baafhi ya viongozi, wachezaji na makocha wa tmu pinzani na pia wasimamizi wa mechi.
Haiwezekani timu kama ni bora ikachukua ubingwa kwa njia halali alafu ikauza wachezaji wawili ambao ni Chama na Luis wakashindwa kufanya vizuri kwenye timu zikizowasajili hii moja kwa moja inaleta timu haikushinda kwa njia halali.
Nakumbuka wakati huo kulikuwa na malalamiko mengi kuhusu Simba ila waandishi wetu wa habari walikuwa kimya kuongelea ili inawezakana labda kwa mapenzi yao na Simba ama walipewa kitu kidogo!
WENYE AKILI NDOGO WATAPINGA MAWAZO YANGU!
Timu bora katikati ya mapajaMabingwa wa nchi timu bora afrika mashariki na Kati simba 🔥🔥🔥🔥