HUBERT MLIGO
Member
- Oct 23, 2009
- 46
- 0
Kwa kuanzia siku hizi sihangalii ITV kabisa na kitakachofuata sitakunywa maji ya Kilimanjaro na Coke products...isnt it simple?
... Binafsi nilishaacha kusikiliza kipindi cha michezo cha Radio One kwani hata habari zao sio nzito. Utasikia mara mchezo wa bao Magomeni, mara mashindano ya kukimbiza mbuzi Kijitonyama, ahh! grrrr...
Hivyo hujangalia BBC, NN, Aljazira na wengineo wakionyesha habari za pande zote ndani ya Vita? Habari ni habari na zinataka kutangazwa na hakuna mtu atakaezizuia lakini uhapotaka kufanya kitu ALIVE basi ni jambo jengine ni lazima kuwepo na makubaliano maalu. Hivyo unahisi TFF inahaki zaidi kuliko timu zinazocheza? Hivyo katika ulimwengu wetu kumkiuka muhusika mkuu si jambo la makusudi kukimbiza majukumu? TFF Vs ITV bila ya timu zinazohusika si upungufu huo?
TBC Taifa, Clouds Fm, 100.5 Fm, Radio Tumaini, Praise Power Fm, chanel Ten, TBC1 na nyingine nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Tanzania nzima - Radio One & ITV haidhuru habari za Wekundu zitaendelea kuvuma, [I]Kwanza Radio One inasikika Dar es Salaam na mikoa michache tu haina watazamaji na wasikilizaji nchi nzima kama TBC Taifa na Radio Free Africa zinazosikika na kutangazwa nchi nzima. Nawashauri wakipenda waache kuandika habari za Simba hata kwenye magazeti yao...[/I]
" Simba Damu"
KWANI wewe unafikiri Simba wanaendesha klabu kwa kupokea sadaka, eeeh Jafar ? kwani unadhani ITV ILIKUA INASHURA BILA KUWA NA UHAKIKA WA WADHAMIN ? Kweli wavunje vipindi kwa zaidi ya dakika 90 bureee.
ITV walipaswa kuzungumza na viongozi wa vilabu kabla ya kurusha zile game.
Hii inasikitisha sana nakumbuka siku ya mechi ya Yanga na Simba jumapili iliyopita ITV hawakutangaza kabisa kwenye taarifa yao ya habari kuhusu mechi ile wakaishia kutangaza mbio za baisikeli kwa kweli wanaonyesha kutokomaa katika kuwajuza habari wadanganyika. Na hako kamgomo baridi si tu kwa ITV na radio One ni pamoja na magazeti yote ya IPP...
Bingwa 4 - Mtibwa 0 (FT)..Toto 1 - Kagera 1 (game lilikuwa linaendelea), Yebo yebo 0 - Prison 1(game lili kuwa linaendelea)Wadau tusisahau kupeana update za mechi za funga dimba.....