Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
TBC Taifa, Clouds Fm, 100.5 Fm, Radio Tumaini, Praise Power Fm, chanel Ten, TBC1 na nyingine nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Tanzania nzima - Radio One & ITV haidhuru habari za Wekundu zitaendelea kuvuma, Kwanza Radio One inasikika Dar es Salaam na mikoa michache tu haina watazamaji na wasikilizaji nchi nzima kama TBC Taifa na Radio Free Africa zinazosikika na kutangazwa nchi nzima. Nawashauri wakipenda waache kuandika habari za Simba hata kwenye magazeti yao...

" Simba Damu"
 
Nashukuru wajumbe, nilikuwa najiuliza bila majibu kwa nini ITV na redio one havataki kutangaza habari za simba. hata habari za magazetini wakiona habari za simba wanaziruka, hat mie limeshaanza kutosikiliza habari za ITV NA REDIO ONE.
Ninashangaa kuona bado kwenye magazeti yao wana ziandika, nilitaka kuwaULIZA itv kulikoni.

Asanta wajumbe, tuendelee kutafuta sababu,ila nadahni akina Kaduguda ..
 
Kwa kuanzia siku hizi sihangalii ITV kabisa na kitakachofuata sitakunywa maji ya Kilimanjaro na Coke products...isnt it simple?

Punguza hasira dreamer, naamini ITV na RadioOne wamesikia matokeo ya utoto wao kazini na watabadilika. Vinginevyo majuto ni mjukuu, wajifunze kutoka gazeti lao dada la This Day....
 
Mimi nadhani ni upuuzi tu wa uongozi wa ITV/Radio One. Kama hii 'blackout' inatokana na kuzuiwa kuonyesha mechi ya Simba, mbona siku hiyo (nilikuwepo uwanjani) hata Star TV walizuiwa lakini Jumapili wameonyesha 'live' pambano la Simba na Yanga. Hawa ITV ndio zao kususia susia. This is very unprofessional! Sasa wapenzi wengi wa michezo huwa hawa-tune ITV au Radio One kwa sababu wanajua hawatasikia habari fulani fulani, hususan kuhusu mechi ya Simba na Yanga. In my opinion wao (ITV/Radio One) ndio losers, kwani watu sasa wanaangalia na kusikiliza stesheni nyingine ambazo ni washindani wao kibiashara. Hata watangazaji watapenda kupeleka matangazo yao kwa vituo vya radio au TV ambazo zinaendeshwa professionally, sio kwa chuki kama hawa jamaa. Binafsi nilishaacha kusikiliza kipindi cha michezo cha Radio One kwani hata habari zao sio nzito. Utasikia mara mchezo wa bao Magomeni, mara mashindano ya kukimbiza mbuzi Kijitonyama, ahh! grrrr...
 
... Binafsi nilishaacha kusikiliza kipindi cha michezo cha Radio One kwani hata habari zao sio nzito. Utasikia mara mchezo wa bao Magomeni, mara mashindano ya kukimbiza mbuzi Kijitonyama, ahh! grrrr...

Haa haaa haaa! Itakuwa ni amri kutoka juu, kwani hawa watangazaji wao nao pia wangependa waendelee na mtindo wa kuwauliza viongozi wa Simba na Yanga maswali ya kuudhi kama walivyokuwa wakifanya tangu awali. Anyway, nadhani tiGO, Coca na wengine watakuwa njiani kuondoa udhamini wa vipindi vya michezo huko!
 
Hivyo hujangalia BBC, NN, Aljazira na wengineo wakionyesha habari za pande zote ndani ya Vita? Habari ni habari na zinataka kutangazwa na hakuna mtu atakaezizuia lakini uhapotaka kufanya kitu ALIVE basi ni jambo jengine ni lazima kuwepo na makubaliano maalu. Hivyo unahisi TFF inahaki zaidi kuliko timu zinazocheza? Hivyo katika ulimwengu wetu kumkiuka muhusika mkuu si jambo la makusudi kukimbiza majukumu? TFF Vs ITV bila ya timu zinazohusika si upungufu huo?

Kwa kifupi mwenye mpira Tanzania ni TFF, vilabu ni wanachama wa TFF. ITV au Supersport hawawezi kuongea na vilabu, wenyewe wataongea na mwenye mpira ambaye ni TFF then ni jukumu la TFF kuwainform wenye timu terms zikoje na timu zitafaidi vipi.. Haiwezekani from no where kiongozi wa timu kubwa kama Simba anahamasisha watu wavunje vifaa vya kurushia matangazo. Viongozi wa Simba wangekuwa waelewa wangewasiliana na TFF inatosha kabisa sio kufanya mambo kiswahiliswahili.
 
TBC Taifa, Clouds Fm, 100.5 Fm, Radio Tumaini, Praise Power Fm, chanel Ten, TBC1 na nyingine nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Tanzania nzima - Radio One & ITV haidhuru habari za Wekundu zitaendelea kuvuma, [I]Kwanza Radio One inasikika Dar es Salaam na mikoa michache tu haina watazamaji na wasikilizaji nchi nzima kama TBC Taifa na Radio Free Africa zinazosikika na kutangazwa nchi nzima. Nawashauri wakipenda waache kuandika habari za Simba hata kwenye magazeti yao...[/I]

" Simba Damu"

Si kweli, Radio One iansikika nchi nzima. ITV sio nchi nzima tu, bali imevuka mipaka ya nchi.
 
KWANI wewe unafikiri Simba wanaendesha klabu kwa kupokea sadaka, eeeh Jafar ? kwani unadhani ITV ILIKUA INASHURA BILA KUWA NA UHAKIKA WA WADHAMIN ? Kweli wavunje vipindi kwa zaidi ya dakika 90 bureee.
ITV walipaswa kuzungumza na viongozi wa vilabu kabla ya kurusha zile game.

Mpira ni wa TFF, ni jukumu la vilabu kuzungumza na TFF na wala sio na mdhamini. Linapokuja suala la udhamini wa timu hapo ni jukumu la klabu ila kwenye suala la utangazaji ni sualal la chama husika. Hata Supersport inapoonyesha ligi mbali mbali inaingia mkataba na FA yenye ligi then FA inajua namna ya kumalizana na members wake!
 
Ki mtizamo inatakiwa IPP Media Watoe tamko ili Wapenzi wa Soka wajue na hapa ni pabaya sana sababu mitazamo ya wengi wanasema Ni USHABIKI vile Mengi Ni Yanga + Kitenge inakuwa haieleweki

Nawashauri watoe Tamko Kwa nini Hawaongelei Mambo ya SIMBA ili ijulikane maana imekuwa ni kero sana.
 
kuna wakati itv ilitaka kutangaza/kuonyesha live mechi ya simba sikumbuki ilikuwa na nani wakaambiwa na mashsbiki wa simba wasithubutu kupeleka makamera yao la sivyo watayavunjavunja.nadhani ndiyo sababu. hili la ushsbiki sikubaliani nalo
 
Mbona hao ITV/Radio One hawatoi tamko lolote kuhusu hili sakata?
 
ITV nao bana! Acheni ushamba na ubabe. Kwanza mambo yenu yanaonekana ya kizamani zamani.

Get time for upgrade (facilities and personnel).

Mie naangalia ITV wakionyesha mizengwe siku ya jumapili. Ndio la maana wanalolimudu. Kama wenyewe mpo humu, habari ndio hiyo. You are too conservative!
 
Hii inasikitisha sana nakumbuka siku ya mechi ya Yanga na Simba jumapili iliyopita ITV hawakutangaza kabisa kwenye taarifa yao ya habari kuhusu mechi ile wakaishia kutangaza mbio za baisikeli kwa kweli wanaonyesha kutokomaa katika kuwajuza habari wadanganyika. Na hako kamgomo baridi si tu kwa ITV na radio One ni pamoja na magazeti yote ya IPP...
 
Hii inasikitisha sana nakumbuka siku ya mechi ya Yanga na Simba jumapili iliyopita ITV hawakutangaza kabisa kwenye taarifa yao ya habari kuhusu mechi ile wakaishia kutangaza mbio za baisikeli kwa kweli wanaonyesha kutokomaa katika kuwajuza habari wadanganyika. Na hako kamgomo baridi si tu kwa ITV na radio One ni pamoja na magazeti yote ya IPP...

Kandambili wangeshinda Nadhani wangetangaza tena Kitenge angetangaza kwa Mbwembwe thank God Mungu amekuwa Upande wa Simba.

Watangaze wasitangaze Simba wembe ni ule ule Mnyama Kamataaa Griiiiiiiii
 
We are focused for Haras El-Hodoud - Phiri

1270551501-a.jpg
Zoom​


After ejecting Zimbabwe’s Lenthens in the first round of the Orange Confederations Cup, Simba have turned their focus to their next game against Harras El-Hodoud.

While Simba qualified on a 5-1 goal aggregate, their next opponents from Egypt saw off Banks of Ethiopia 6-1 on aggregate.

Simba coach Patrick Phiri said they are aware the Egyptians are strong. “We want to make use of our home ground in the first leg before traveling for the return leg.

Tanzania’s envoys in the African Champions League Mainland’s Young Africans and Zanzibar’s Miembeni crashed out at the hands of FC Lupopo of DR Congo and Petrojet of Egypt respectively, while other Confederation Cup representatives Mafunzo went out to Gunners of Zimbabwe, to leave Simba the country’s only hope in continental club championships.
 
Jamani ni kweli kuwa tumewadungua Mtibwa 4..?

Ebu wenye nyuzi tupeni maana tutakuwa tumeandika historia kubwa....
 
Timu bora simba, kocha bora simba, mchezaji bora simba, kipa bora simba.......nk, Macho yote Kombe la shirikisho...
 
Back
Top Bottom