Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Simba wanashambulia sana lango la waarabu ila umaliziaji ndio issuen Simba wanakosa bao la wazi one on one na kipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ni mapumziko na kwa maono yangu Simba wamecheza vizuri ila tatizo ni umaliaji, hawa waarabu tukiwafunga chini ya bao tatu Simba watakuwa na kazi ngumu mechi ya marudiano, kocha Phiri inabidi awaambie vijana watafute mabao ya haraka haraka kipindi cha pili
Simba wanaandika bao la kwanza kupitia kwa Emmanuel Okwi dk ya 53