Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Simba wanashambulia sana lango la waarabu ila umaliziaji ndio issuen Simba wanakosa bao la wazi one on one na kipa
 
Mpira ni mapumziko na kwa maono yangu Simba wamecheza vizuri ila tatizo ni umaliaji, hawa waarabu tukiwafunga chini ya bao tatu Simba watakuwa na kazi ngumu mechi ya marudiano, kocha Phiri inabidi awaambie vijana watafute mabao ya haraka haraka kipindi cha pili
 
Mhh,vipi defence ya simba imekaaje? Vipi kasi ya wachezaji?

Huko misri tutacheza against wachezaji na hujuma,kaazi kweli kweli
 
Difensi ya Simba imetulia sana has Owino *mbaye ni man of the match so far na kati Simba wametawala sana tatizo ni moja kwa soka letu la kibongo ushambuliaji, waarabu naona wanataka sare au kuzuia idadi za mabao kusudi wajiweke nafasinzuri mechi ya marudiano. Timu ndio zinatoka vyumbani kwa kipindi xha lala salama
 
simba inabidi wakaze buti coz huko cairo itakuja kuwa shughuli..
 
Simba Simba Simba guess who? Musa Hassan Mgosi anaandika bao la pili dakika ya 71 baada ya kazi nzuri ya Mike Barasa
 
I SAID 2DAY WILL BE A GREAT DAY TO TANZANIA REAL FOOTBALL FUNS......! na kwa wasiopenda maendeleo ya wenzao leo wataondoka wamenuna....!
 
Back
Top Bottom