Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Mpira ni mapumziko na kwa maono yangu Simba wamecheza vizuri ila tatizo ni umaliaji, hawa waarabu tukiwafunga chini ya bao tatu Simba watakuwa na kazi ngumu mechi ya marudiano, kocha Phiri inabidi awaambie vijana watafute mabao ya haraka haraka kipindi cha pili
Simba wanaandika bao la kwanza kupitia kwa Emmanuel Okwi dk ya 53