The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 21
Raja Casablanca walipiga mtu goli 6-0 mpaka CAF wakajuta kwa nini waliweka ahadi ya kutoa fedha kwa kila goli litakalofungwa!
Na wewe unashabikia timu mbovu vile...Njoo msimbazi chama la wanjanjaLeo utabiri wangu unaonyesha Yanga anaondoka na ushindi...