Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Raja Casablanca walipiga mtu goli 6-0 mpaka CAF wakajuta kwa nini waliweka ahadi ya kutoa fedha kwa kila goli litakalofungwa!


Kumbukumbu nzuri. Yanga kwa kufungwa na waarabu utadhani simba anakula swala vile
 
Jamani wana JF, naombeni nifahamishwe sababu za msingi hasa zilizofanya Kocha mkuu za Simba Sport Club wekundu wa Msimbazi, Mzambia Patric Phili kutorudi kuinoa timu hiyo,
 
Wamempa deadline nafikiri alikwenda kufuatilia mafao yake ,ndio kilichomchelewesha,amepewa deadline ya kurudi.
 
mafao kiduchu msimbazi mkuu, hela za kuchangishana kama michango ya harusi ndo kocha alipwe atawezea wapi philly wa watu.

bora kaona ajiondokee akatafute dili zingine,bora akachimbe visima zambia kuliko vihela vya kuombana kama michango ya msibani.
 
huyu jamaa hana mapenzi na simba na infact anawadharau isipokua wao simba tu kujipendekeza, ukweli ni kwamba phiri najiona ni kocha mkubwa sana si wa hadhi ya simba, kwa iyo anachofanya ni kwamba, anaendelea na issue zake au anafanyakazi kwwingine pale mkataba wake uko unapokua umeisha wakati akisubiri dili nyingine ndio anakuja kuganga kidogo hapo simba, madili yake yakikaa sawa huyoo anatambaa! anawaletea mafanikio kwamba ni kocha mzuri lakini hawafai kwani hana mapenzi nao!
 
Unajua unapofanya kazi mahala popote pale,kama mazingira yalikuwa magumu kwako kwanini ung'ang'anie hapo si bora utafute kwingine penye nafuu,nadhani Phili kwa Simba mambo yalikuwa magumu kwake naona ndo sbabu ya ya yeye kutimua kimyakimya!
 
Nadhani wamesahau simba ndo baba wa mpira wa kimataifa kwa bongo.Ndo timu ya kwanza A.mashariki kumtoa zamalek akiwa nyumbani,timu ya kwanza kucheza fainali ya kombe la caf.Hivi mnakumbuka mlivyopigewa sita ally mayai akidaka mpira kama kipa baada ya mpira kumshinda joseph katuba
 
Wana-msimbazi mbona pamepoa sana hapa kazi inaanza kesho.....
 
Vipi wekundu wa Kariakoo mambo ni yaje? Nipo hapa na lager yangu naanza kusherekehea ushindi wa mfalme wa Pori!!!

Unajua nipo deep red..
 
Ushawahi kuona walevi wa pombe ya matatputapu
ndivyo ilivyokuwa jana kwa wachezaji wa simba akika nimeamini bila kaseja jamaa ni kama wamekunywa gongo yaani kulikuwa na kama misukule kule ndani na sidhan walikuwa watu..anyway imepita lakini jifunzeni kushnida bila kaseja mtalia siku za mbeleni
 
hamna lolote inamaana yanga wamebahatisha kushinda sababu kaseja hayupo?
 
Kwani Kaseja angekuwepo angefunga mabao? Unless ndo anawabebea hirizi (just kidding!). By the way, Barthez nae yuko kwenye form kweli!
 
Back
Top Bottom