Beki wa timu ya Atletico Paranaense,Bruno Costa De Souza akijaribu kuondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni kwake katika mechi iliyochezwa jioni hii dhidi timu ya Simba ya jijini Dar,ndani ya uwanja wa Taifa.hadi mwisho wa mchezo matokeo yalikuwa ni Simba 1-1 Atletico Paranaense.
Mshambuliaji wa timu ya Atletico Paranaense,Gabriel Lima De Oliveira akijaribu kumtoka Rashid Gumbo wa Simba katika mpambano uliomalizika jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar.
Kiungo wa timu ya Simba,Patrick Ochen akiwatoka mabeki wa timu ya Atletico Paranaense katika mchezo uliochezwa jioni hii ndani ya uwanja wa Taifa jijini Dar.
mbilinge mbilinge langoni mwa timu ya Simba huku mshambuliaji wa timu ya Atletico Paranaense akigaa gaa chini mara baada ya kukutana na kijiji cha timu hiyo.hadi mwisho wa mchezo matokeni ni Simba 1 na Atletico Paranaence 1.
Hongereni Azam kwa kutufunga jana... imeonyesha kwamba mkiamua mnaweza kwani mmeifunga the best football team in the country... Azam wameonyesha kwambas i lazima simba na yanga