Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
s6.jpg


Beki wa timu ya Atletico Paranaense,Bruno Costa De Souza akijaribu kuondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni kwake katika mechi iliyochezwa jioni hii dhidi timu ya Simba ya jijini Dar,ndani ya uwanja wa Taifa.hadi mwisho wa mchezo matokeo yalikuwa ni Simba 1-1 Atletico Paranaense.
 
s3.jpg


Mshambuliaji wa timu ya Atletico Paranaense,Gabriel Lima De Oliveira akijaribu kumtoka Rashid Gumbo wa Simba katika mpambano uliomalizika jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar.
 
s5.jpg

Beki wa Atletico Paranaense,Bruno Costa De Souza akiondoa hatari langoni mwake
 
s1.jpg



Kiungo wa timu ya Simba,Patrick Ochen akiwatoka mabeki wa timu ya Atletico Paranaense katika mchezo uliochezwa jioni hii ndani ya uwanja wa Taifa jijini Dar.
 
s2.jpg

mbilinge mbilinge langoni mwa timu ya Simba huku mshambuliaji wa timu ya Atletico Paranaense akigaa gaa chini mara baada ya kukutana na kijiji cha timu hiyo.hadi mwisho wa mchezo matokeni ni Simba 1 na Atletico Paranaence 1.
 
simba yatoka sare ya 1-1 na atletico paranaense kwa hiyo safari imekufa
nimemind kinoma ila bora sisi kuliko huyu hapa na kocha mzungu
KONDIC.JPG
 
aramba aramba aaaamh aaaamh...
Nasikia jana mmekalishwa kwenye kibao cha mbuzi na kuanza kukanda mikate ya Azam?

Teh teh teh
 
Hongereni Azam kwa kutufunga jana... imeonyesha kwamba mkiamua mnaweza kwani mmeifunga the best football team in the country... Azam wameonyesha kwambas i lazima simba na yanga
 
Back
Top Bottom