Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wekeni Link basi jamani
wakati huu fainali ya taifa cup kipindi cha pili kati ya mwanza na mbeya mpaka sasa bila bila..niko nje ya mada
Ni mechi ya kukamilisha ratiba tu kwani washindi tayari wanajurikana ni waarabu, mechi ya maana leo ni moja tu, Barca na Man utd.
najiandaa kusoma masababu lukuki kwa nini Simba wamefungwa migoli ya haya...zifuatazo lazima zitakuwa sababu za kufungwa
1.Muda wa maandalizi haukuwa unatosha
2.uwanja hatujauzoea
3.walikuwa wanatuzomea sana
4.Refa alikuwa anapendelea
5.Niliingiliwa kupanga timu-Kocha
6.Wachezaji walikuwa wanawaza kuangalia mechi ya barca na man u
Hata mimi nina wasiwasi na chama langu, nje ya uwanja Mwarabu amejipanga vilivyo!
Mashabiki wa ndara utawajua tu, hata mufulira Wanderers walijulikana kuwa wangekuwa washindi miaka ile... Nimesahau na Zamalek.
Uzuri wa hii thread itakuwepo hata baada ya mechi, mpira wa kisasa hauchezwi kwa njozi, bali maandalizi wewe jiandae kuangalia fainali ya UEFA hiyo mechi ya cairo tayari matokeo yanajurikana, tusichokijuwa tu ni sababu zipi za kufungwa atakazozileta Msomali Rage.
umeanza kujitetea kabla ya mechi?
Ivugaaa..... Njoo braza naonewa huku!
Kila heri SIMBA & MAN UTD.........................