Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Acheni woga, mwamuzi ni dakika 90, kila timu ina nafasi ya kushinda.
 
Naona simba wanashambuliwa tu, kwenye kiungo na mbele hakuna uhai kabisaaaaa
 
Dah, ndo tabu ya kuwa na simu za buku jero. Yaani ma-link yote hayo nashindwa kujihudumia hata moja, updates zitanifaa sana wapendwa!
 
Tbc Taifa wanaitangaza(audio).Dakika inaelekea ya 40 bila bila mpaka sasa Simba tunaposess zaidi ila finishing ndo bado tunaonekana hatujatulia.
 
Tbc Taifa wanaitangaza(audio).Dakika inaelekea ya 40 bila bila mpaka sasa Simba tunaposess zaidi ila finishing ndo bado tunaonekana hatujatulia.

Kaka ukiangalia Live hutaona hiyo possession unayosema mpira wote ni wa jamaa tunakimbia kimbia tuuu, huyo mtangazaji ni MWONGO!
 
Back
Top Bottom