Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kweli jamani kazi tunayo, simba wanapata free kicks lakini zinavyopigwa hadi aibu jamani dah!
 
Listi ya simba tafadhali!
Kaseja, Haruna Shamte, Amir Maftah, Juma Nyoso, Kelvin Yondan, Jerry Santo, Hillary Echesa, Mohamed Banka, Shija Mkina, Emmanuel Okwi. Wa kumi na moja nimemsahau.
 
mhh asante Mungu naweza nikala now ila waendelee kukaza mpaka mwisho
 
hizi timu za bongo ukiwa unafuatilia mechi zao inabidi uwe na vidonge vya kutuliza maumivu pembeni
 
Hatuna strikers wala midfielders! mpira ukifika katikati unachukuliwa kilaini na waarabu
 
jamani kipindi cha pili bado, maana naona tbc taifa wamenogewa na mziki.
 
Back
Top Bottom