Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Mimi naona hawa jamaa hawakujiandaa vya kutosha so uwezekano wa kulambwa ni mkubwa tu.
 
Hatuna strikers wala midfielders! mpira ukifika katikati unachukuliwa kilaini na waarabu

Mpira malengo siku hizi, ili mradi mwishoni tupate japo kamoja, we wajua arsernal wangekuwa wapi saa hii kama bedtner angepiga lile bao!
 
Jamani kipindi cha pili bado?
Tupeni uptodate tbc wameweka zilipendwa.
 
Simba waendelee kupack basi kipindi cha pili, jamaa tutawatoa kwenye matuta!!
 
Hawa tbc taifa mbona siwaelewi, sahivi ni muziki tu, tafadhali toeni update jamani.
 
Back
Top Bottom