saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 99
Simba inapeperusha bendera ya Tanzania.......Hakuna ushabiki bali uzalendo!!Hivi kuna watu bado wanashabikia timu ya simba?
Wacha kudanganya watu....pata live update link hiiMpira umeanza, dk. 2 bila bila.
Mbona wanaonyesha ligi ya Zambia?Angalieni supersport 9
Hivi kuna watu bado wanashabikia timu ya simba?
Mbona wanaonyesha ligi ya Zambia?