Inauma kweli kufungwa gori kama hilo...ni makosa ya beki...tuletee na mengine
Asante sana mkuu...tumeujua ukweli...
mkuu mechi kesho tutakupa matokeo au hata live updates hapa hapa JF.Jamani huku ughaibuni bado sijajua Mnyama na Motema Pembe imekuwaje?
Asante na tafadhali uwe unatupa update plz.DC Motema Pembe ni ya DR Congo, timu zote zipo uwanjani tayari zinapasha pasha misuli moto hapa...Nimekaa jukwaa la ugenini kwa watani nipate kushuhudia mtanange huu kwa karibu zaidi...