Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Mie nilijua leo wacheza bolingo hawaponi, mana Simba aliyejeruhiwa (ie:3-0 na wydad) siku zote huwa hana simileDakika ya 7 Simba wanaandika bao la kwanza umepigwa free kick ya kupasia ukamkuta Mussa Hassan Mgosi ambaye bila ajizi akautupia mpira Nyavuni Simba 1 Motema Pembe 0
Bora kuna matumaini.Dakika ya 7 Simba wanaandika bao la kwanza umepigwa free kick ya kupasia ukamkuta Mussa Hassan Mgosi ambaye bila ajizi akautupia mpira Nyavuni Simba 1 Motema Pembe 0