Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Dakika ya 7 Simba wanaandika bao la kwanza umepigwa free kick ya kupasia ukamkuta Mussa Hassan Mgosi ambaye bila ajizi akautupia mpira Nyavuni Simba 1 Motema Pembe 0
 
Dakika ya 7 Simba wanaandika bao la kwanza umepigwa free kick ya kupasia ukamkuta Mussa Hassan Mgosi ambaye bila ajizi akautupia mpira Nyavuni Simba 1 Motema Pembe 0
Mie nilijua leo wacheza bolingo hawaponi, mana Simba aliyejeruhiwa (ie:3-0 na wydad) siku zote huwa hana simile
 
Dakika ya 7 Simba wanaandika bao la kwanza umepigwa free kick ya kupasia ukamkuta Mussa Hassan Mgosi ambaye bila ajizi akautupia mpira Nyavuni Simba 1 Motema Pembe 0
Bora kuna matumaini.
 
Kipindi cha pili ndio kiaanza Motema Pembe wazuri wamekosa nafasi nyingi za wazi Simba inabidi waongeze bao la pili
 
Ni burudani tosha beki wa DCMT ameonyesha ufundi wa hali ya juu sijawahi ona maisha yangu yote anaporusha mpira anapiga samba solti na kisha anarusha kama kona...
 
Simba wanafanya mabadiliko Juma Jabu anaingia kuchukua nafasi ya Nico Nyagawa ambaye kwa leo mechi imemkataa kiasi kuwa DCMP wametawala sana sehemu ya kiungo
 
Kama ametoka Nyagawa na kuingia JJ kiungo cha Simba kitakuaje; au Banka na Kiemba watazibiti vilivyo?
 
Simba wanapata pigo Haruna Shamte anamkata mchezaji wa DCMP na kupewa kadi ya njano anamfuata refa na kutukana anapewa kadi NYEKUNDU, kosa la kipumbafu kabisa. Simba itabidi wacheze pungufu ya mchezaji mmoja kwa dakika kama 20 zilizobaki.
 
Dk 67 Simba 1 DCMP 0......Simba wapo pungufu baada ya Haruna Shamte kulambwa red card..

Salum Kanoni for Mussa Hassan Mgosi
 
Back
Top Bottom