Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
ahsante kwa msaada mkuu, kazi mnaanza lini??
Unajua hawa jamaa wana kelele utadhani wamefanya la maana.....yaani timu inapelekeshwa na yule teja hadi wanamwombea uenyeketi, bado wanajona ni timu........
Jangwani hakuna klabu pale!
 
ETI wanasema pale klabuni kwao wanatengeneza uwanja.....!
kuweni wakweli.....!Toka lini JANGWANI panapojaa maji pakajengwa ALL-SEASON GROUND?
NASIKIA mnatengeneza mabwawa ya samaki hasa kipindi hiki cha mvua za usiku mtavua kweli PELEGE....!
kandambili bwana....!
we muulize maandalizi ya mechi yao na mtibwa walifanyia wapi?
 
This is last warning.maneno mengine kaandike kwenye jukwaa lenu la sivyo kutakupiga ban humu!!!
Mkuu, mwache huyo jamaa aisee... jukwaa lao limedoda
wamempa teja timu anawafungia mipira unga kama enzi za gulamali
na hata anavyopost hapa unajua kabisa ndugu yetu chomba hali yake ni tete
amejaa hasira na animosity juuya klabu yetu
tumuache aendelee kuleta upupu kwani upupu wake unatukumbusha jinsi yanga walivyojichokea
Chomba is the image or flag carrier wa yanga s far as JF is concerned

akikua ataacha

BTW, hivi mmecheki ratio ya post kati ya jukwaa letu na la chomba?
 
i got you!! poa basi ngoja tumuache aendelee kungarisha sharubu humu ndani kwa wekundu unaweza kuta kule mda wote yuko peke yake!! teh teh
 
kwakweli jamaa yetu huyu anahitaji msaada mkubwa maana yuko mpweke kule kwenye jukwaa lake "aliloanzisha"

wacha aje huku ajifunze soka la bongo labda kuna siku ataweza kupata guts za kumuuliza teja wao "Manji" swali la msingi kuhusu lile bwawa la kambale pale bongeni!!! Maana tunaambiwa tusijenge mabondeni lakini wao wanashabikia mabonde huku teja lao linanunua maeneo yote nje ya mabonde
 
ahahaha!!kwanza anastress huyu tar 13 anakipiga na Lupopo inabidi atulie jambo hatumuombei mabaya lakini historia nayo ina-play part sometime.
Wish kandambili all the best
 
tuwaombee wapate japo droo... ntaenda uwanjani siku hiyo ila ntavaa jezi ya stars
 
De novo mie kuingia jukwaa lenu mnanishambulia kama vile Khinzir kaingia masjid...
Sasa na wewe taifa hiyo tarehe kumi na tatu utakwenda tafuta nini?
Kwani simba inacheza?

all in all utani na kuchefuana kuendelee ila nawakumbusha kuwa ahadi yangu ya chokaa iko palepale...
 
Mkuu hapa unakaribishwa mda wowote kuja kun'garisha sharubu zako. kwako kule manji yuko bussy kuwaangalia commedy original .
 
Pmj milele cousin...
Ila kumbuka Yanga ndo timu ya kwanza hapa nchini kuuza mchezaji nje ya mipaka ya nchi.

Sijui unamjua?

Namjua. CA kuna mpira?? kwanza nyinyi ni wachawi Ngassa kaenda kwa Zolla huku nyuma mmeloga hadi hajachukuliwa.sio dili.
 
De novo mie kuingia jukwaa lenu mnanishambulia kama vile Khinzir kaingia masjid...
Sasa na wewe taifa hiyo tarehe kumi na tatu utakwenda tafuta nini?
Kwani simba inacheza?

all in all utani na kuchefuana kuendelee ila nawakumbusha kuwa ahadi yangu ya chokaa iko palepale...

Mkuu, kwenye utani wa jadi... mashambulizi ni lazma sana!!! kumbuka siku hiyo nikija uwanjani nikikaa jukwaa la yanga (au pamoja na jamaa wa yanga) halafu nikashangilia mkifungwa ntapona kweli??

Hapa sikupigi vita ila nakukumbushia utani wa jadi tu mazee... kama kule kwetu kwa Arses na the Kops

Changamoto ni lazma kwenye spoti
 
Karibu saana uje uone tunavyowashughulikia wakata viuno, kama jana tulivyowashughulikia wakata miwa...
 
Mjitahidi mshindi ili nanyi msaidie kujenga CV ya bongo nje!
 
Jamani leo tuko Shamba la Bibi dhidi ya Manyema aka Mkuki Mkali watoto wa King Mputa Maseko Kibaden, updates tafadhali wana Simba aka Mnyama Mkali wenye apenzi mema! Hatuhitaji kuanzisha Sredi nyingi kama Ile timu Nyingine ( Hongereni Kandambili kwa Ushindi wa Jana) hii hii inatosha. Nyani, Sipo, Mafuluto, Roya Roy, De Novo na Wanazi wengine tujuzane
 
Back
Top Bottom