saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 99
Asante mkuu..........................endeleeni kutupa uptodate wadau!HT: Kagera Sugar 0 Simba 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu..........................endeleeni kutupa uptodate wadau!HT: Kagera Sugar 0 Simba 0
HT: Kagera Sugar 0 Simba 0
thanks mkuu kwa updates.HAWA leo hawatoki mnyama anakula hadi sukari.
Teh teh teh...
Hiyo Sukari kaila?
Siku nyingine Fungeni midomo yenu mpk mpira ukwishe, sio mnakurupuka tu kama wanariadha wa mita 100.
Mwanjelwa umekuwa yule mtabiri wa Magomeni? Yanga ipi unayozungumzia? hii hii tunayoijua? kwi kwi kwi! pole sana kwa maumivuAsavali sasa Simba nao wamepotza points. Sasa ndiyo safari ya kupoteza michezo imeanza rasmi. Kwa uzoefu wangu. Match tatu na nusu tu zijazo Yanga wanaongoza league
si mbaya kuacha chenji bar!!! we hvae over 95% points collected... the best record in the world
...baaambie mzee wa Docebit...ha!ha!ha!....waiter keep change au sio!
Asavali sasa Simba nao wamepotza points. Sasa ndiyo safari ya kupoteza michezo imeanza rasmi. Kwa uzoefu wangu. Match tatu na nusu tu zijazo Yanga wanaongoza league
Ndoto za alinacha hizo. Kwa kifupi mechi za ugenini ndio tumemaliza hivyo...!! Tunarudi nyumbani for the rest of the league. Sikiliza muziki wetu sasa, ni dozi kwa kwenda mbele! Na majeruhi wetu watakuwa wameshapona!
Ubingwa tutatangaza mechi nne kabla ya ligi kwisha!
si mbaya kuacha chenji bar!!! we hvae over 95% points collected... the best record in the world[/QUOTE
In amateur football at least to start with!
Kipindi cha Michezo cha Radio Magic cha jana wamesema wachezaji wa Simba walifanya mgomo baridi sababu ya kulazwa wachezaji wa sita sita chumba kimoja
Kipindi cha Michezo cha Radio Magic cha jana wamesema wachezaji wa Simba walifanya mgomo baridi sababu ya kulazwa wachezaji wa sita sita chumba kimoja
Kwani bakuli halikupitishwa?
Teh teh teh