Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kagera walisawaziskwa kwa penalt ikawa 1-1: sema hatuna updates kiwa hiyo penalt waliipataje.but still not bad tumegawana point
 
Asavali sasa Simba nao wamepotza points. Sasa ndiyo safari ya kupoteza michezo imeanza rasmi. Kwa uzoefu wangu. Match tatu na nusu tu zijazo Yanga wanaongoza league
 
Mwanjelwa umekuwa yule mtabiri wa Magomeni? Yanga ipi unayozungumzia? hii hii tunayoijua? kwi kwi kwi! pole sana kwa maumivu
 
si mbaya kuacha chenji bar!!! we hvae over 95% points collected... the best record in the world
 
Asavali sasa Simba nao wamepotza points. Sasa ndiyo safari ya kupoteza michezo imeanza rasmi. Kwa uzoefu wangu. Match tatu na nusu tu zijazo Yanga wanaongoza league

Ndoto za alinacha hizo. Kwa kifupi mechi za ugenini ndio tumemaliza hivyo...!! Tunarudi nyumbani for the rest of the league. Sikiliza muziki wetu sasa, ni dozi kwa kwenda mbele! Na majeruhi wetu watakuwa wameshapona!

Ubingwa tutatangaza mechi nne kabla ya ligi kwisha!
 
Dats the woorrrrdd bro' wataishia kunawa tu, wacha tule desert sasa
 
Kipindi cha Michezo cha Radio Magic cha jana wamesema wachezaji wa Simba walifanya mgomo baridi sababu ya kulazwa wachezaji wa sita sita chumba kimoja
 
Kwani bakuli halikupitishwa?
Teh teh teh
 
nimesoma kwenye guardina na daily news na citizen Phiri anasema wachezaji walibweteka... sasa sijui tuamini yupi?
 
Kwani bakuli halikupitishwa?
Teh teh teh

Ahhh, tulilisahau kwa mhindi wa mavioo!!!

BTW Vipi naona wadau wa kandambili wamedoda kule kwenye jukwaa lako, kuna tatizo au mpaka manji apeleke watu bungeni na ndege na kukimbiza muafaka mikoani kwa pesa alizoiba??
 
Back
Top Bottom