Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ile sare na Kagera Sugar sio Kujikwaa ndugu zangu pale tumeondoka na point jama, kujikwaa ni kupoteza game mazima. Simba juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu zaidi 2009/2010Simba daima mbele nyuma mwiko....kujikwaa si kuanguka!
Asavali sasa Simba nao wamepotza points. Sasa ndiyo safari ya kupoteza michezo imeanza rasmi. Kwa uzoefu wangu. Match tatu na nusu tu zijazo Yanga wanaongoza league
Yebo yebo bwana! mechi tatu na nusu ndio mpira gani huo? Yaani kuna siku mtacheza kipindi kimoja tu? Kocha wenu ameshasema anatafuta nafasi ya pili maana hana mawazo ya kuwapta Wekundu wa Msimbazi wewe kalumekenge unasema ati mtawakamata. Uchawi wa Bagamoyo hauna nafasi hapo. Jumatatu Mtibwa wanawakanyaga na hapo ndio hawaondoki kwenye nafasi ya pili kisha Wakongo wanakuja kumalizia. Mwakani mechi za kimataifa mtazisoma tu kwenye magazeti.
Sio kila atakalolisema kocha unatakiwa ulifuatishe. Kuna wengine wanasema vile ili kuwafanya mbweteke tu.
Kama vilabu vya serie A vingekuwa vinafuatisha anayoyasema Mourinho basi kila timu ingekuwa imeshajitoa...
Zile zinaitwa Propaganda za soka kama ulikuwa hujui sasa.
Na ni bure maneno haya kwenda kuwafundisha na wenzako ambao nao hawajui japo kupiga dana dana kama wewe.
duh!!!yaani simba anampumulia mgongoni yanga
Mtasubiri sana kuongoza league. Match tatu na nusu tu zijazo Yanga wanaongoza league
Mtasubiri sana kuongoza league
Mtasubiri sana kuongoza league
Hapo ongezea na ni timu gani yenye uwezo wa kuzifunga klabu za Misri...?HEBU nyie KANDAMBILI ulizeni vizuri mpewe kile ambacho wahenga husema HISTORIA ITAWAHUKUMU........!
NI timu gani ina historia ya kutoa MAKIPA BORA!....A.K.A TANZANIA ONE...?
NI timu gani ina historia ya kutoa MAKOCHA BORA.....?
Ni timu gani ina historia ya ya kutisha NJE YA MIPAKA...A.K.A SOKA LA KIMATAIFA..?
Hapo ongezea na ni timu gani yenye uwezo wa kuzifunga klabu za Misri...?
Ni timu gani Tanzania imewahi kumvua taji bingwa mtetezi ...?
Pia malizia ''je ni timu gani yenye uwanja na makao makuu ambayo kila chumba kina AC?''
ahsante kwa msaada mkuu, kazi mnaanza lini??Kwa niaba ya CLUB ya Yanga nimeamua kujitolea kupaka chokaa jengo la KILABU ya Simba...
Kwa niaba ya CLUB ya Yanga nimeamua kujitolea kupaka chokaa jengo la KILABU ya Simba...