Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Wakuu mwenye uwezo wa kutuonyesha fiture zilizobaki na msimamo wa ligi plus all statistics atuaidie tuanze kuboresha mood ya wikendi
 
Simba daima mbele nyuma mwiko....kujikwaa si kuanguka!
Na ile sare na Kagera Sugar sio Kujikwaa ndugu zangu pale tumeondoka na point jama, kujikwaa ni kupoteza game mazima. Simba juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu zaidi 2009/2010
 
Asavali sasa Simba nao wamepotza points. Sasa ndiyo safari ya kupoteza michezo imeanza rasmi. Kwa uzoefu wangu. Match tatu na nusu tu zijazo Yanga wanaongoza league

Yebo yebo bwana! mechi tatu na nusu ndio mpira gani huo? Yaani kuna siku mtacheza kipindi kimoja tu? Kocha wenu ameshasema anatafuta nafasi ya pili maana hana mawazo ya kuwapta Wekundu wa Msimbazi wewe kalumekenge unasema ati mtawakamata. Uchawi wa Bagamoyo hauna nafasi hapo. Jumatatu Mtibwa wanawakanyaga na hapo ndio hawaondoki kwenye nafasi ya pili kisha Wakongo wanakuja kumalizia. Mwakani mechi za kimataifa mtazisoma tu kwenye magazeti.
 
Sio kila atakalolisema kocha unatakiwa ulifuatishe. Kuna wengine wanasema vile ili kuwafanya mbweteke tu.
Kama vilabu vya serie A vingekuwa vinafuatisha anayoyasema Mourinho basi kila timu ingekuwa imeshajitoa...
Zile zinaitwa Propaganda za soka kama ulikuwa hujui sasa.
Na ni bure maneno haya kwenda kuwafundisha na wenzako ambao nao hawajui japo kupiga dana dana kama wewe.
 
KWA KANDAMBILI sisi kutoa droo wao wanaona tumefungwa....! lakini wakae wakumbuke kuwa kati ya timu yenye historia adimu ya soka hapa TZ na EAST AFRICA kwa ujumla ni MNYAMA...!
 
Simba ni simba tu.... acha hao vibua wa manji wahangaike!!!
 
Sio kila atakalolisema kocha unatakiwa ulifuatishe. Kuna wengine wanasema vile ili kuwafanya mbweteke tu.
Kama vilabu vya serie A vingekuwa vinafuatisha anayoyasema Mourinho basi kila timu ingekuwa imeshajitoa...
Zile zinaitwa Propaganda za soka kama ulikuwa hujui sasa.
Na ni bure maneno haya kwenda kuwafundisha na wenzako ambao nao hawajui japo kupiga dana dana kama wewe.

Tatizo lako kabla hujafikia keyboard lazima upitie kwenye dengelua. Ni wapi Mourinho alisema kuwa Inter Milan Isahau ubingwa kama huyu yellow man wenu alivyosema. Hata kama ilikuwa propaganda za mpira timu yake si ndiyo mabingwa. Ulivyokanusha ni kinyume unatakiwa ukubali Mourinho alikuwa anachonga huku akijua kuwa timu yake itafanya kweli, vile vile mwalimu wenu ameona mbali kuwa ni ndoto kutwaa ubingwa ameshindwa tu kuwaambia hata nafasi ya pili hampati maana mtaanza kutembezeana bakora. Nekisti taimu njoo kabla hujanywa mataputapu yako.
 
HEBU nyie KANDAMBILI ulizeni vizuri mpewe kile ambacho wahenga husema HISTORIA ITAWAHUKUMU........!
NI timu gani ina historia ya kutoa MAKIPA BORA!....A.K.A TANZANIA ONE...?
NI timu gani ina historia ya kutoa MAKOCHA BORA.....?
Ni timu gani ina historia ya ya kutisha NJE YA MIPAKA...A.K.A SOKA LA KIMATAIFA..?
 
Hapo ongezea na ni timu gani yenye uwezo wa kuzifunga klabu za Misri...?
Ni timu gani Tanzania imewahi kumvua taji bingwa mtetezi ...?
 
Kwa niaba ya CLUB ya Yanga nimeamua kujitolea kupaka chokaa jengo la KILABU ya Simba...
 
Hapo ongezea na ni timu gani yenye uwezo wa kuzifunga klabu za Misri...?
Ni timu gani Tanzania imewahi kumvua taji bingwa mtetezi ...?

Pia malizia ''je ni timu gani yenye uwanja na makao makuu ambayo kila chumba kina AC?''
 
Kwa niaba ya CLUB ya Yanga nimeamua kujitolea kupaka chokaa jengo la KILABU ya Simba...

chokaa?? basi hata wewe ni choka mbaya badala ya kutoa msaada wa rangi ya mafuta wewe unatoa chokaa?? unagombea ubunge nini?? kwanza j1 mtatoka??
 
ETI wanasema pale klabuni kwao wanatengeneza uwanja.....!
kuweni wakweli.....!Toka lini JANGWANI panapojaa maji pakajengwa ALL-SEASON GROUND?
NASIKIA mnatengeneza mabwawa ya samaki hasa kipindi hiki cha mvua za usiku mtavua kweli PELEGE....!
kandambili bwana....!
 
Back
Top Bottom