Manyara Stars are out of Olyimpics Qualifiers wamechapwa 3-0 na Nigeria U23, Simba nao yale yale tusubiri tuone kipindi cha pili kinapigwa sasa DCMP bado wako mbele kwa 1-0
 
[TABLE="class: tabulka, width: 468"]
[TR]
[TD="class: hlavicka, bgcolor: #006699, colspan: 6"]Africa - CAF Confederation Cup [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tabulkatd, width: 467"]
[TR="class: tmava, bgcolor: #EEEEEE"]
[TD]16:30[/TD]
[TD="width: 10%"]85'[/TD]
[TD="width: 30%, align: right"]DC Motema Pembe[/TD]
[TD="width: 10%"]2-0[/TD]
[TD="width: 30%, align: left"]Simba SC[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hureee afadhali mnyama kafungwa kelele zitulie mtaani,,sie mpira hatuwezi tuelekeze nguvu kwenye ngoma tu
 
Hureee afadhali mnyama kafungwa kelele zitulie mtaani,,sie mpira hatuwezi tuelekeze nguvu kwenye ngoma tu
ngoma gani umesema? ntakucharaza viboko! ala!! badala ya kuchangilia vya kwetu uachangalia vya watu, weeee!!
 
full time DCM2:0Simba.mwisho wa game simba wajipange wasajili wachezaji wenye uwezo zaidi hasa baki wenye miili na maumbo ya kimichezo.
 
Adui mwombee njaa!
 
Rufaa ya Simba imewatia aibu tupu! Laiti wangewaacha TP Mazembe wangefanya kweli Klabu bingwa, hata Waarabu wanajua hivyo. Simba kapewa nafasi kombe la shirikisho nako katolewa, jamani hii ni aibu kwa soka la Bongo. Haya kateni rufaa tena bao la kwanza si halali, Rage uko hapo?
 
Tanzania tunacheza footboli midomoni tu, not on the pitch. Kwanza hatuna mazoezi how do you prepare for competition ya dakika tisini na unafanya mazoezi kwa dk 90 hizo hizo, baada ya hapo unakwenda kulishwa chipsi kuku broiler au chips mayai? na unataka ushindane na watu wanaokula msosi wa nguvu, wanakunywa maziwa lita mbili kila siku na wanafanya mazoezi kila siku kwa masaa matatu?
 
Rufaa iliyoirudisha Simba mashindanoni haikuwa halali, matokeo yake Wamewasaidia Waarabu tu kuendelea mbele. Vya dhuluma mwisho wake siku zote ni kwa jinsi hiyo. Kateni tena rufaa labda Montema pembe wataenguliwa!!!!!!!!
 
Kwa hakika Rage anayo kazi pale Simba SC, kazi ni kwake.
 
Rufaa iliyoirudisha Simba mashindanoni haikuwa halali, matokeo yake Wamewasaidia Waarabu tu kuendelea mbele. Vya dhuluma mwisho wake siku zote ni kwa jinsi hiyo. Kateni tena rufaa labda Montema pembe wataenguliwa!!!!!!!!
haya bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…