Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Goal difference ndo imetupa Yanga Ubingwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wa Simba unashangilia yanga!
Hogera sana Manji Team.
Lol.....................Bala ni Yanga damu but alikuwa anleta updates tu........
Yanga daima mbele nyuma mwiko
Pamoja my dia.....................Yanga Afrika Yanga umoja wa mataifa,mabingwa wa Tanzania na Afrika Mashariki na kati........................hahaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mnyama anainama anainuka, anaona haya huyooo, lol!
Okwi Okwi Okwi.........................Namuonea huruma sana Okwi............lazima abebeshwe zigo la lawama kwa kukosa penati
wenzetu hawakubali kuwa hawawezi, lazima watafute pa kutokea.
Punde watafunga safari kwenda Semunge, lol.
hapa utachafua mandhari!Man U pia itachukua 3!
Walijihakikishia asilimia 100 wao ni mabingwa mwaka huu wakaanza kuleta maneno ya kejeli kwetu.........Thank God we found Sam Timbe